Kijana natafuta kazi ya kuosha magari

Kijana natafuta kazi ya kuosha magari

clinton gidioni

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
145
Reaction score
165
Habara wapendwa poleni na majukumu.

Kijana wenu natafuta kazi ya kuosha magari.

Nina uzoefu wa kutumia mashine mbali mbali za kuoshea magari na nina uwezo wa kufanya service ndogo ndogo kwenye magari.

Ninauwezo wa kuongea Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha

Nina uwezo wa kuongea na kumshawishi mteja vizuri.

Nina ahidi nitawajibika vyema na nitajituma na nitaipenda kazi yangu.

Napatikana Dar 0694185384
 
Jamani nikumbukeni lengo langu nikupata kipato ambacho kinaweza kikawa endelevu
 
Back
Top Bottom