Juzi tumeona Davido nyota wa mziki wa Nigeria aki protest jukwaani utekaji na mauaji ya raia nchini mwake. Ni kawaida kwa ma star wanaojielewa.
Kijana Pele akiwa na miaka 29 alishinda kombe la dunia mara ya tatu na ya mwisho. Mwaka unaofuata 1971 akastaafu mpira.
Baadae akaeleza akasema aliacha kuiwakilisha Brazil ku protest, kupinga hali ya nchi yao, kwa saab hawakuwa na furaha kabisa kuchezea nchi ya kidikteta.
Hawa ma star wetu sisi ( Wa mziki na Filamu ndio wana majina makubwa) wana raha gani kuwa upande madikteta wanaochinja wananchi ???
Nataka kusema shule ndogo. Lakini kina Pele na Bob Marley na Muhammed Ali na kina Tupac walikuwa na shule gani ?????