October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Ujamuelewa aliyekoti hii nyuza alikuwa na nia ya kumpongeza wewe unazani anambezakimenuka, akijibu nitagi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujamuelewa aliyekoti hii nyuza alikuwa na nia ya kumpongeza wewe unazani anambezakimenuka, akijibu nitagi
Dah jamaa umenifanya nicheke kwa nguvu mpaka basikimenuka, akijibu nitagi
Asante sana mkuu mbere Yaa miaka miwili iliyopita nilikuja kutafuta ajira humu ila mm niko humu kwa miaka 5 sasa na ukiangalia post zangu za nyuma nyingi utagundua kuwa nilikuwa nikifanya biashara gani na ndo ambayo naifanya mpaka leo na msaada niliupata kupitia members wa humu humu jukwaani .Natafuta kazi yoyote halali ya kuniingizia kipato - JamiiForums
Hii dunia ina watu wenye baati sana mwaka juzi tu ulitaka kazi hata ya ndani leo unagawa pesa
Aloooooh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa shaka na kwa member yeyote nitakayemuomba hata sent tano yake aniite tapeli.Baasi saaawa kama hakuna harufu ya kupigwa na mliopata mtuletee mrejesho
Tugawe pongezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ashajibu mbona mkuukimenuka, akijibu nitagi
Oky naomba niulize, miaka minne iliyopita niliomba ajira humu na nilipata humu na nilifanya kazi kwa muda wa miez minne kabla ya kufungua biashara yangu ila pia ukiangalia post zangu za nyuma nilikuwa nikiuza simu used humu jukwaani ndo biashara niifanyayo mpak leo japo siuzi used tena.kimenuka, akijibu nitagi
Hata Mimi asee, JF is stress free
Sawa tajiriAsante sana mkuu mbere Yaa miaka miwili iliyopita nilikuja kutafuta ajira humu ila mm niko humu kwa miaka 5 sasa na ukiangalia post zangu za nyuma nyingi utagundua kuwa nilikuwa nikifanya biashara gani na ndo ambayo naifanya mpaka leo na msaada niliupata kupitia members wa humu humu jukwaani .
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua sisi ngoz nyeusi huwa tunahisi kuwa mafanikio huchukua muda miaka hamsini no hapa mjini ukiwa mwaminifu na kufanya kazi kwa bidii unaweza ishangaza duniaUjamuelewa aliyekoti hii nyuza alikuwa na nia ya kumpongeza wewe unazani anambeza
Sent using Jamii Forums mobile app
1)Yaa ni kwa muda wote tutakaofanya kazi pamojaUbarikiwe mkuu, swali langu
1) Ni je 25% ni kwa miaka yote au ina kikomo
2) mawazo tuwasilishe kwa mfumo wa bussines idea, plan au hata kwa maelezo tu.
Nawasilisha niwai nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 2 ni mingi sana mkuu. Binafsi ninachokifanya leo nahsi kama nimekifanya miaka kumi iliyopita..Ila tatizo moja sisi vijana wa kitanzania ni ukosefu wa uaminifu, uaminifu ndo tatzo kubwa, nataka nitolee mfano kwa kazi ambazo ukiwa mwaminifu zinaweza kukutoa haraka sana moja wapo ni kazi ya kuuza vitu online ila tatzo kubwa watanzania tulio wengi uaminifu ni sifuri ila, Ila kama una uhakika kuwa ni mwaminifu na huwez kuwa na longolongo katika biashara yako ni biashara inayoweza kukushangaza kwa muda mfupi sana.Natafuta kazi yoyote halali ya kuniingizia kipato - JamiiForums
Hii dunia ina watu wenye baati sana mwaka juzi tu ulitaka kazi hata ya ndani leo unagawa pesa
Aloooooh
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo kununua korosho kwa wakulima na kuuza gulio likifunguliwa buashara uhakika namba 0688393663Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja ya changamoto nilizozipitia sana miaka 3 iliyopita, ila kwa sasa kupitia Jf nimeweza kupiga hatua fulani, natoa asante kwa waanzilishi wa mtandao huu kwani wengine umesaidia sana kututoa tongo tongo, Binafsi nimefika hapa nilipo sasa kwa kusaidiwa na ninaowajua na nisio wajua.
Leo hii napenda nitumie fursa hii kuwaambia vijana wenzangu kuwa ukifanya kazi kwa bidii na uaminifu utafikia ndoto zako.
Kama wewe ni kijana mweny wazo la biashara na unahisi kuwa ni wazo bora ila kikwazo ni mtaji nipm, mtaji nitatoa mimi kiwango cha mtaji kiwe M1 kushuka chini, Nahitaji vijana 20, uwe DSM.
Biashara utakayoifanya katika faida inayopatinana asilimia 75 ni yako, yangu itakuwa asilimia 25. Kama uko tiyari wasilisha wazo lako na namba yako ya simu PM nitakupigia.
Wenye maswali au maoni na ushari mnaruhusiwa nitajibu hapa hapa.
NB : Kabla hujaja PM hakikisha kuwa wewe ni mwanaminifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna bahati hata standard gauges tutaendelea kuzi sikia dar huko huko
Daah!! Umenifanya Nishindwe Kuelewa ase Mungu anatenda Miujiza mikuu kwa watu wake.Natafuta kazi yoyote halali ya kuniingizia kipato - JamiiForums
Hii dunia ina watu wenye baati sana mwaka juzi tu ulitaka kazi hata ya ndani leo unagawa pesa
Aloooooh
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji121]Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja ya changamoto nilizozipitia sana miaka 3 iliyopita, ila kwa sasa kupitia Jf nimeweza kupiga hatua fulani, natoa asante kwa waanzilishi wa mtandao huu kwani wengine umesaidia sana kututoa tongo tongo, Binafsi nimefika hapa nilipo sasa kwa kusaidiwa na ninaowajua na nisio wajua.