Kijana tumia fursa hii kupata mtaji

Kijana tumia fursa hii kupata mtaji

Natafuta kazi yoyote halali ya kuniingizia kipato - JamiiForums

Hii dunia ina watu wenye baati sana mwaka juzi tu ulitaka kazi hata ya ndani leo unagawa pesa
Aloooooh

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu mbere Yaa miaka miwili iliyopita nilikuja kutafuta ajira humu ila mm niko humu kwa miaka 5 sasa na ukiangalia post zangu za nyuma nyingi utagundua kuwa nilikuwa nikifanya biashara gani na ndo ambayo naifanya mpaka leo na msaada niliupata kupitia members wa humu humu jukwaani .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kimenuka, akijibu nitagi
Oky naomba niulize, miaka minne iliyopita niliomba ajira humu na nilipata humu na nilifanya kazi kwa muda wa miez minne kabla ya kufungua biashara yangu ila pia ukiangalia post zangu za nyuma nilikuwa nikiuza simu used humu jukwaani ndo biashara niifanyayo mpak leo japo siuzi used tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu mbere Yaa miaka miwili iliyopita nilikuja kutafuta ajira humu ila mm niko humu kwa miaka 5 sasa na ukiangalia post zangu za nyuma nyingi utagundua kuwa nilikuwa nikifanya biashara gani na ndo ambayo naifanya mpaka leo na msaada niliupata kupitia members wa humu humu jukwaani .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta kazi yoyote halali ya kuniingizia kipato - JamiiForums

Hii dunia ina watu wenye baati sana mwaka juzi tu ulitaka kazi hata ya ndani leo unagawa pesa
Aloooooh

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 2 ni mingi sana mkuu. Binafsi ninachokifanya leo nahsi kama nimekifanya miaka kumi iliyopita..Ila tatizo moja sisi vijana wa kitanzania ni ukosefu wa uaminifu, uaminifu ndo tatzo kubwa, nataka nitolee mfano kwa kazi ambazo ukiwa mwaminifu zinaweza kukutoa haraka sana moja wapo ni kazi ya kuuza vitu online ila tatzo kubwa watanzania tulio wengi uaminifu ni sifuri ila, Ila kama una uhakika kuwa ni mwaminifu na huwez kuwa na longolongo katika biashara yako ni biashara inayoweza kukushangaza kwa muda mfupi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja ya changamoto nilizozipitia sana miaka 3 iliyopita, ila kwa sasa kupitia Jf nimeweza kupiga hatua fulani, natoa asante kwa waanzilishi wa mtandao huu kwani wengine umesaidia sana kututoa tongo tongo, Binafsi nimefika hapa nilipo sasa kwa kusaidiwa na ninaowajua na nisio wajua.
Leo hii napenda nitumie fursa hii kuwaambia vijana wenzangu kuwa ukifanya kazi kwa bidii na uaminifu utafikia ndoto zako.

Kama wewe ni kijana mweny wazo la biashara na unahisi kuwa ni wazo bora ila kikwazo ni mtaji nipm, mtaji nitatoa mimi kiwango cha mtaji kiwe M1 kushuka chini, Nahitaji vijana 20, uwe DSM.

Biashara utakayoifanya katika faida inayopatinana asilimia 75 ni yako, yangu itakuwa asilimia 25. Kama uko tiyari wasilisha wazo lako na namba yako ya simu PM nitakupigia.
Wenye maswali au maoni na ushari mnaruhusiwa nitajibu hapa hapa.
NB : Kabla hujaja PM hakikisha kuwa wewe ni mwanaminifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo kununua korosho kwa wakulima na kuuza gulio likifunguliwa buashara uhakika namba 0688393663

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbali sana kuna watu tunajifunza sana kupitia hapa jf bila kubagua nawashukuru members wote kwa ujumla maana nilikata tamaa kabisa kusoma ila watu walisimama kunifariji kila mtu kwa hisia zake nikaacha kumwaga zege nikaenda chuo nasasa mwez wa 11 naanza mwaka wa pili,
Nilikuwa natumia jina langu apa jukwaani BrownJ lakin nilisahau password na nlivopata simu tu jf app ya kwanza nikajiunga kwa hili jina ili tu niwe member
 
Kwanza nakupongeza sana mkuu kwa moyo wako mzuri na tena kama kijana nafurahi sn mafanikio yako uliyoyapata na kurudi tena kutaka kutusaidia tena vijana wenzako nashukuru kwa hiloo mkuu mimi sina wazo mkuu ilaa natamani sana kufanya biashara nimejichanga binafsi na kama 800000 sema sijapata wazo zuri nianzie wapi ningefurah kupata ushauri wako mkuu asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu, mimi nina idea mda sana mtaji issue, hakika endelea kutushika mkono.
pm yangu iko njiani
 
Habari zenu wanajf, Binafsi katika maisha yangu nimepitia changamoto nyingi sana za maisha kama kijana, Vijana tulio wengi tuna mawazo mazuri ila kikwazo kikubwa huwa ni mtaji. kama kijana ni moja ya changamoto nilizozipitia sana miaka 3 iliyopita, ila kwa sasa kupitia Jf nimeweza kupiga hatua fulani, natoa asante kwa waanzilishi wa mtandao huu kwani wengine umesaidia sana kututoa tongo tongo, Binafsi nimefika hapa nilipo sasa kwa kusaidiwa na ninaowajua na nisio wajua.
Leo hii napenda nitumie fursa hii kuwaambia vijana wenzangu kuwa ukifanya kazi kwa bidii na uaminifu utafikia ndoto zako.

Kama wewe ni kijana mweny wazo la biashara na unahisi kuwa ni wazo bora ila kikwazo ni mtaji nipm, mtaji nitatoa mimi kiwango cha mtaji kiwe M1 kushuka chini, Nahitaji vijana 20, uwe DSM.

Biashara utakayoifanya katika faida inayopatinana asilimia 75 ni yako, yangu itakuwa asilimia 25. Kama uko tiyari wasilisha wazo lako na namba yako ya simu PM nitakupigia.
Wenye maswali au maoni na ushari mnaruhusiwa nitajibu hapa hapa.
NB : Kabla hujaja PM hakikisha kuwa wewe ni mwanaminifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji121]
LETE MILIONI MOJA FASTA HAPA MKUU WATU TUANZISHIE MRADI WA KUUZA SUPU YA PWEZA.

"Katibu Mwenezi wa Wasoma Comments."
 
Back
Top Bottom