ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Vijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona.
Kama ww ni kijana ambaye bado ndo unajitafuta na una ndoto za kufika mahali fulani kimafanikio, basi itabidi uwe na chaguo gumu la kudhibiti nyege zako tofauti na hapo hautoboi hata kwa dawa, utazunguka kwa waganga tz nzima kwa kudhani umerogwa kumbe hapana.
Na hakuna siku ambapo maisha yatakuwa rahisi kwako ,kwa sababu umejitwika majukumu yasiyo kuwa na ulazima wowote kwenye maisha yako.
Gharama za uzinzi zimekuwa juu sana.
Adui namba moja ya maisha ya vijana wa kisasa ni sisi wenyewe japo kisingizio cha umasikini wetu tumeitwisha ccm.
Hivi kijana kipato chako kwa mwezi ni 500000 kwa mwezi ,alafu wakati huo una mademu si chini ya wa 4 na wote wanakupiga vizinga wakati huo unahitaji ule, uvae ,ulipe kodi ,ununue mahitaji mengine muhimu, huumwe ujitibishe hivi kwa sitahili hiyo maisha yatakuwa marahisi lini kwako?
Yaani unaweza kukuta kijana mdogo wa miaka 22 hana familia lakini amejitwisha majukumu ya kuwatunza na kulisha malaya zaidi ya watano.
Pia uzinzi hauwaathiri vijana tu, hata watu wazima hasa familia zao zimekuwa wahanga wa uzinzi wao, leo hii kuna mamilioni ya familia duniani hazipati matunzo yanayo sitahiki kwa sababu baba zao wanatumia %80ya vipato vyao kugharamia uzinzi badala ya familia zao.