Kijana ukiendekeza uzinzi hautoboi aisee.

Kijana ukiendekeza uzinzi hautoboi aisee.

Nimekuuliza, kwenye nafasi ya K waweke nini...its just a question, wape vijana solution mkuu.
Hakuna sehemu nilipo sema mtu asifanye mapenzi bali uzi unasema usiyaendekeze.
Kwani kuna shida gani ukatafuta mwanamke mmoja anaye endana hadhi ya kipato chako mkajenga naye maisha mpaka uwe na rundo la wanawake kila sehemu hali yakuwa kipato chako ni cha kuunga unga?
 
Kuna jukuu la delilah moja nalichotaga akili kujua tu ana maono gani kwnye life ananichana live kuna njemba yuko nae kisa anajua kunyonya pussy, kuna dereva wa serikali STL yuko nae huyo anatoa hela sana, kuna lecturer yuko nae anampa michongo ya kazi sana.. mimi anasema anapenda muonekano na ukimya kafunga safar self funded zaidi ya km800 kunifata i treat her poorly anipotezee ila yumo tu, ila women bana.. esp kizaz kipya hawa early 20s! Rotten kabisa.

Sasa mume mtarajiwa wa huyu itakuaje ndo kwanza ana 22 plan yake 26 ndo aolewe, Naunga mkono hoja uzinzi una lostisha madem wenyewe wana options kibao.
By the time anagonga 30 soko linakuwa limeshuka sana, kama hajaolewa chances zinakuwa reduced to minimal...
 
Vijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona.

Kama ww ni kijana ambaye bado ndo unajitafuta na una ndoto za kufika mahali fulani kimafanikio, basi itabidi uwe na chaguo gumu la kudhibiti nyege zako tofauti na hapo hautoboi hata kwa dawa, utazunguka kwa waganga tz nzima kwa kudhani umerogwa kumbe hapana.
Na hakuna siku ambapo maisha yatakuwa rahisi kwako ,kwa sababu umejitwika majukumu yasiyo kuwa na ulazima wowote kwenye maisha yako.
Gharama za uzinzi zimekuwa juu sana.
Adui namba moja ya maisha ya vijana wa kisasa ni sisi wenyewe japo kisingizio cha umasikini wetu tumeitwisha ccm.
Hivi kijana kipato chako kwa mwezi ni 500000 kwa mwezi ,alafu wakati huo una mademu si chini ya wa 4 na wote wanakupiga vizinga wakati huo unahitaji ule, uvae ,ulipe kodi ,ununue mahitaji mengine muhimu, huumwe ujitibishe hivi kwa sitahili hiyo maisha yatakuwa marahisi lini kwako?

Yaani unaweza kukuta kijana mdogo wa miaka 22 hana familia lakini amejitwisha majukumu ya kuwatunza na kulisha malaya zaidi ya watano.

Pia uzinzi hauwaathiri vijana tu, hata watu wazima hasa familia zao zimekuwa wahanga wa uzinzi wao, leo hii kuna mamilioni ya familia duniani hazipati matunzo yanayo sitahiki kwa sababu baba zao wanatumia %80ya vipato vyao kugharamia uzinzi badala ya familia zao.
Uzi mzuri sana huu, cha muhimu kuwa na mtu wako mmoja aliye mwelewa bas.
 
Pombe,uzinzi na kamari vinafira sana ndoto za vijana wengi wa kitanzania, tubadilike
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Back
Top Bottom