MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Mkuu nimekupa huo mfano juu ili kukutoa kwenye generalization ya mambo ndio maana nikakupa neno..., Gigolo; a young man paid or financially supported by a woman, typically an older woman, to be her escort or lover.Uzinzi kwa upande wa kipato mwanamke anafaidika wakati mwanaume anakamuliwa.
Japo kimwili mwanamke ni muathirika mkubwa wa uzinzi.
Mahitaji muhimu ya binaadam ni Chakula,mavazi na malazi,hayo ndiyo mtu akiyakosa anaweza kupatwa na changamoto nyingine. Lakini K siyo ya lazima.Swali, wanaishije bila K?
Ulisikia wapi?Mahitaji muhimu ya binaadam ni Chakula,mavazi na malazi,hayo ndiyo mtu akiyakosa anaweza kupatwa na changamoto nyingine. Lakini K siyo ya lazima.
Haupo serious weweMahitaji muhimu ya binaadam ni Chakula,mavazi na malazi,hayo ndiyo mtu akiyakosa anaweza kupatwa na changamoto nyingine. Lakini K siyo ya lazima.
Kwa hiyo ww hutafuti hela ili watoto wako wasome shule nzuri, wale vizuri ,waishi kwenye nyumba na mazingira safi ,ila unatafuta hela kwa ajili ya kuhonga malaya?Nmegundua Vijana wengi humu JF ni machalii wadogo sana na uwezo wao wa kufikiri pia ni mdogo sana, Mwanamke anakuzuiaje kufanya mambo yako surely? Na izo pesa unazitafuta kwa ajili ya nini kama sio kwa ajili ya haohao wanawake na?
Binafsi nina madem hata sikumbuki idadi, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Life is too short, enjoy every moment of your life as tomorrow is not promised
Hao watoto utawatotoa wewe au mwanamke wako?Kwa hiyo ww hutafuti hela ili watoto wako wasome shule nzuri, wale vizuri ,waishi kwenye nyumba na mazingira safi ,ila unatafuta hela kwa ajili ya kuhonga malaya?
Mfalme Suleiman alikuwa na wake 700 na mahawara 300 hakuwahi kufirisika ,uje ufirisike Kwa kuwa na mademu 10 au 20!?Kuna jamaa alisema kama hauna hela basi hauna tu, usitafute visingizio vya wanawake!
Swali, wanaishije bila K?
Baada ya mahubir kanisan yanafuata yako hapa kuna ujumbe muhim sana hapa.-Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini
-Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake
-Haudaiwi chochote na girlfriend wako
-Jenga ndoto au jenga mahusiano. Unatakiwa kuchagua kimoja
-Mpenzi wako sio ndugu yako
-Mtoto wa kiume ingia kwenye mahusiano kitaalamu
-Mwanaume hautopendwa bure
-Mwanaume jipe kipaumbele wewe mwenyewe
-Stay away from broke women
-Stop dating liabilities
-Treat yourself more better than your woman
-Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha
-Umasikini wa mwanamke sio tatizo la mwanaume
-Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbele mwenyewe
-Usiwekeze kwa mwanamke
Haya mambo mayaongea kila siku. Kiijana yoyote ambae bado unajitafuta tenga muda upitie izo thread hapo juu
Hongera umepiga hatua kubwa Sana. Mungu azidi kukufunulia mengi zaidi๐๐๐Vijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona.
Kama ww ni kijana ambaye bado ndo unajitafuta na una ndoto za kufika mahali fulani kimafanikio, basi itabidi uwe na chaguo gumu la kudhibiti nyege zako tofauti na hapo hautoboi hata kwa dawa, utazunguka kwa waganga tz nzima kwa kudhani umerogwa kumbe hapana.
Na hakuna siku ambapo maisha yatakuwa rahisi kwako ,kwa sababu umejitwika majukumu yasiyo kuwa na ulazima wowote kwenye maisha yako.
Gharama za uzinzi zimekuwa juu sana.
Adui namba moja ya maisha ya vijana wa kisasa ni sisi wenyewe japo kisingizio cha umasikini wetu tumeitwisha ccm.
Hivi kijana kipato chako kwa mwezi ni 500000 kwa mwezi ,alafu wakati huo una mademu si chini ya wa 4 na wote wanakupiga vizinga wakati huo unahitaji ule, uvae ,ulipe kodi ,ununue mahitaji mengine muhimu, huumwe ujitibishe hivi kwa sitahili hiyo maisha yatakuwa marahisi lini kwako?
Yaani unaweza kukuta kijana mdogo wa miaka 22 hana familia lakini amejitwisha majukumu ya kuwatunza na kulisha malaya zaidi ya watano.
Pia uzinzi hauwaathiri vijana tu, hata watu wazima hasa familia zao zimekuwa wahanga wa uzinzi wao, leo hii kuna mamilioni ya familia duniani hazipati matunzo yanayo sitahiki kwa sababu baba zao wanatumia %80ya vipato vyao kugharamia uzinzi badala ya familia zao.
Its just a pussyVijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona.
Kama ww ni kijana ambaye bado ndo unajitafuta na una ndoto za kufika mahali fulani kimafanikio, basi itabidi uwe na chaguo gumu la kudhibiti nyege zako tofauti na hapo hautoboi hata kwa dawa, utazunguka kwa waganga tz nzima kwa kudhani umerogwa kumbe hapana.
Na hakuna siku ambapo maisha yatakuwa rahisi kwako ,kwa sababu umejitwika majukumu yasiyo kuwa na ulazima wowote kwenye maisha yako.
Gharama za uzinzi zimekuwa juu sana.
Adui namba moja ya maisha ya vijana wa kisasa ni sisi wenyewe japo kisingizio cha umasikini wetu tumeitwisha ccm.
Hivi kijana kipato chako kwa mwezi ni 500000 kwa mwezi ,alafu wakati huo una mademu si chini ya wa 4 na wote wanakupiga vizinga wakati huo unahitaji ule, uvae ,ulipe kodi ,ununue mahitaji mengine muhimu, huumwe ujitibishe hivi kwa sitahili hiyo maisha yatakuwa marahisi lini kwako?
Yaani unaweza kukuta kijana mdogo wa miaka 22 hana familia lakini amejitwisha majukumu ya kuwatunza na kulisha malaya zaidi ya watano.
Pia uzinzi hauwaathiri vijana tu, hata watu wazima hasa familia zao zimekuwa wahanga wa uzinzi wao, leo hii kuna mamilioni ya familia duniani hazipati matunzo yanayo sitahiki kwa sababu baba zao wanatumia %80ya vipato vyao kugharamia uzinzi badala ya familia zao.
Madhara ya nyeto yanatibika lakin ngoma haitibiki
Oya mkuuVijana wapige nyeto ili kuokoa gharama
Naam mkuu ๐Oya mkuu