Kijana ukiendekeza uzinzi hautoboi aisee.

Nimekuuliza, kwenye nafasi ya K waweke nini...its just a question, wape vijana solution mkuu.
Hakuna sehemu nilipo sema mtu asifanye mapenzi bali uzi unasema usiyaendekeze.
Kwani kuna shida gani ukatafuta mwanamke mmoja anaye endana hadhi ya kipato chako mkajenga naye maisha mpaka uwe na rundo la wanawake kila sehemu hali yakuwa kipato chako ni cha kuunga unga?
 
By the time anagonga 30 soko linakuwa limeshuka sana, kama hajaolewa chances zinakuwa reduced to minimal...
 
Uzi mzuri sana huu, cha muhimu kuwa na mtu wako mmoja aliye mwelewa bas.
 
Pombe,uzinzi na kamari vinafira sana ndoto za vijana wengi wa kitanzania, tubadilike
 
Reactions: ITR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…