Shilingi 160,000 inatosha kumwachia Mkeo na akaibania Matumizi mkala hadi kufikia hata tarehe za katikati ya mwisho wa reli
Binafsi huwa nanunua Mchele/Unga/gesi/mafuta ya kupikia dumu la Lita 20/Viazi kwaajili ya Chipsi/Mayai trey 2 n.k
Kwahiyo unajikuta unakaa muda mrefu huombwi hela ya Matumizi
Ukiombwa inakuwa mara chache sana
Hiyo mbinu niliitumia wakati naanza maisha ya Kujitegemea DSM
Ilinisaidia sana kipindi kile
Yaani utaishiwa hela, lakini uhakika wa kula unao
Vijana wengi wanatumia kipato chao kikubwa kwenye kutombe**** hao Malaya pamoja na betting
Ukioa, unajikuta unaacha automatic