Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Nafikiri hatuelewani kwa sababu tunaongea kwa kufanya rejea ya wanawake wa generations tofauti. Batch ya wanawake wa generation yenu ni tofauti na batch ya wanawake hawa wa generation yetu kwaiyo lazima mbinu za mchezo zibadilike
 
Ikiwa Wana mahusiano ya kweli, faida anazopata mhongaji kutoka kwa mhongwaji ni kubwa zaidi kuliko hizo hasara ulizochanganua
 
Nafikiri hatuelewani kwa sababu tunaongea kwa kufanya rejea ya wanawake wa generations tofauti. Batch ya wanawake wa generation yenu ni tofauti na batch ya wanawake hawa wa generation yetu kwaiyo lazima mbinu za mchezo zibadilike
Hahaha....... nimekuelewa sana Mkuu.

Mbinu za kupambana na adui lazima zibadirike 😜
 
Narudia tena Vijana mtafute hela.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena Vijana mtafute hela.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Hela tunatafuta. Matumizi ya pesa ni general hayaishii kwenye kumalizana na upwiru tu kuna kula, kodi, bill za nyumbani, kuwekeza, kusaidia ndugu n.k kwaiyo hela lazima itafutwe mpaka kieleweke. Hatuwezi kuleft group ili kukwepa majukumu.
 
Ni ujinga uliopitiliza kumuhudumia ama kumhonga mwanamke asiye wako.
 
Sasa unampa elf kumi ya nini? Au anakuwa amekuomba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…