St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Tatizo unashindwa kutofautisha kati ya kusaidia na kutapanya. Hakuna mke atakayekuzuia kusaidia wahitaji. Ukiona anakuzuia basi huyo siyo mke ni mchumaji. Lakini pia hakuna mwanamke atakaye mvumilia mwanaume anayetapanya mali kwa kisingizio cha kuwafurahisha ndugu na marafiki.
Hujamfahamu huyu kakusudia mwanzo ukiwa single unasaidia ndugu na jamaa kwasababu huna majukumu(mke). Mfano hata mtu binafsi anakuwa na matumizi ya 10,000 kwa siku, lakini ukishaowa tu matumizi yanazidi hata kama ulikuwa una shopping nguo kila wiki sasa uta shopping mwezi au miezi 2 mara moja.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]