St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Tatizo unashindwa kutofautisha kati ya kusaidia na kutapanya. Hakuna mke atakayekuzuia kusaidia wahitaji. Ukiona anakuzuia basi huyo siyo mke ni mchumaji. Lakini pia hakuna mwanamke atakaye mvumilia mwanaume anayetapanya mali kwa kisingizio cha kuwafurahisha ndugu na marafiki.
Kwa kifupi hicho unachokiita msaada hakikuwa msaada. Misaada ya namna hiyo ndiyo husababisha wasaidiwa wanamnanga msaidiaji. Unaweza kusikia mtu anasema, jamaa ana miaka mingi kazini lakini hata kibanda hana. Wakati yeye huyo huyo ndio alikuwa kila mara anatuma sms za kupiga mzinga. Mimi hiyo aina ya mizinga ndiyo siitaki iitwe misaada.Hujamfahamu huyu kakusudia mwanzo ukiwa single unasaidia ndugu na jamaa kwasababu huna majukumu(mke). Mfano hata mtu binafsi anakuwa na matumizi ya 10,000 kwa siku, lakini ukishaowa tu matumizi yanazidi hata kama ulikuwa una shopping nguo kila wiki sasa uta shopping mwezi au miezi 2 mara moja.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwa kifupi hicho unachokiita msaada hakikuwa msaada. Misaada ya namna hiyo ndiyo husababisha wasaidiwa wanamnanga msaidiaji. Unaweza kusikia mtu anasema, jamaa ana miaka mingi kazini lakini hata kibanda hana. Wakati yeye huyo huyo ndo alikuwa kila mara anatuma sms za kupiga mzinga. Mimi hiyo aina ya mizinga ndiyo siitaki iitwe misaada.
hilo swali zuri..Maana ya ndoa unajua?
Ndugu wengine hawataki hivyo, kama ulikuwa unatoa hicho kiasi hata ukioa utoe hivyo hivyo mshahara wenyewe huu tangu nyongeza ya mkwele haujawahi ongezeka, kila mtu apambane na maisha yake kama hana maradhi akabebe tofariKila kitu kwa kiasi kwa vyovyote mtu ukishakuwa na familia ni lazima uipe kipao mbele kwa kadri uwezo unavyoruhusu.
Sasa kama ni watu wakwenu wao walianza vipi mpaka wakawa familia? Baba na mama yako ndugu?Familia yako ni Watu wa kwenu Siyo mke wako
Wanataka hiyo elf 10 mjibane na mkeo ili kuwa saidia ndugu na jamaa, usionekane kama mke anakuzuiaHujamfahamu huyu kakusudia mwanzo ukiwa single unasaidia ndugu na jamaa kwasababu huna majukumu(mke). Mfano hata mtu binafsi anakuwa na matumizi ya 10,000 kwa siku, lakini ukishaowa tu matumizi yanazidi hata kama ulikuwa una shopping nguo kila wiki sasa uta shopping mwezi au miezi 2 mara moja.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Yaani hiyo inatesa sana, unakuta mtu kila siku anavyatua familia lakini hatafuti mahitaji yao kazi yake vizinga haa haa, mpaka ukipigiwa simu unaogopa kupokeaKwa kifupi hicho unachokiita msaada hakikuwa msaada. Misaada ya namna hiyo ndiyo husababisha wasaidiwa wanamnanga msaidiaji. Unaweza kusikia mtu anasema, jamaa ana miaka mingi kazini lakini hata kibanda hana. Wakati yeye huyo huyo ndio alikuwa kila mara anatuma sms za kupiga mzinga. Mimi hiyo aina ya mizinga ndiyo siitaki iitwe misaada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wengine hata kama wameolewa vizinga kwa Kaka haviishiWanaohitaji hiyo misaada hadi wakasirike nao si waolewe ili wakasaidiwe na waume zao?
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wengine hata kama wameolewa vizinga kwa Kaka haviishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa hilo swali.Sasa kama ni watu wakwenu wao walianza vipi mpaka wakawa familia? Baba na mama yako ndugu?
Sent using Jamii Forums mobile app