Kijana ukitaka kuoa, oa binti aliyezaliwa miaka ya 2000 hadi 2004

Kweli
 
Tambueni hili jamani ,mwanamke akishakuwa katembea na mwanaume au wanaume kadhaa katemana nao yaani labda dogo tangu yuko advance ana jamaa mara kaja chuo ana jamaa wengine ni hatari sana ...Kuna single hao ndo hawafai kabisa utakuja kujinyonga bure.

Kwa dunia ya sasa tafuta mwanamke sio ankuheshimu tu na pia awe anakuogopa ...labda sivyo utakuja kuona nyoto nyota..unaishi na mwanamke we unatoka kwenda kazini na yey anatoka mmekuwa wachawi nn?
 
Na ili uogopwe na binadamu lazima uwe na power na hiyo power ni pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ili uogopwe na binadamu lazima uwe na power na hiyo power ni pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeap yeap nilienda usukumani dah !! Hawa watu wanaheshimika sana tulienda kwa jamaa aisee ana mke wake wako kweny ndoa kama miaka 15 ivi watoto ni wakubwa ila Yale mapokezi mke kwanza kakita goti ,kaletewa maji ya kunawa mda wa kula na sisi tulikuwa wageni ,mke hajakula nilivyogundua mpaka tumemaliza ,vyombo vimetolewa ,tumekaa mpaka tukaondoka kwa mbali namuona jikoni anakula na mdada wa kazi Tena pamoja wanapiga stori kabisa.
 
Hii mimi sijawahi kuikubali kabisa kwasababu mwanamke ninaeishi naye nimemzidi mwaka mmoja tu ( classmate wangu), kila kitu kipo sawa kabisa. Hao wengine mnawazeesha nyinyi wenyewe kwa umasikini na shida zenu.

Kwenye mahusiano, issue ni mwanamke akupende sana for real kisha ujue kutekeleza majukumu yako, hakuna kingine.
 
Kweli
 
Mkuu huyo ni mama siyo bibi mkuu.
 
Siyo kuzeeka mwanamke wakileo wengi wao wakisha zaa tu watoto wanakuwa na mwili mkubwa sawa na Mama zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…