Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KweliNyie mnaotegemea kuoa usijichanganye ukaoa Mwanamke mwenye umri mkubwa Kuanzia 25+ hutajuta Sana
Tafuta Mwanamke Kuanzia 18 mwisho 22 .
Wanawake wakiongezeka umri ndio wanapata uchizi wanaanza kuvua mwisho wa siku anatembea Uchi.
Then wanawake wenye umri mkubwa ndio hawa wanawaza ukubwa wa wallet hawana future Wala Nini .
Tafuta Mwanamke Mdogo ki-umri
Hawa watoto namba D ndo wanamini katika Process .
Na ili uogopwe na binadamu lazima uwe na power na hiyo power ni pesaTambueni hili jamani ,mwanamke akishakuwa katembea na mwanaume au wanaume kadhaa katemana nao yaani labda dogo tangu yuko advance ana jamaa mara kaja chuo ana jamaa wengine ni hatari sana ...Kuna single hao ndo hawafai kabisa utakuja kujinyonga bure.
Kwa dunia ya sasa tafuta mwanamke sio ankuheshimu tu na pia awe anakuogopa ...labda sivyo utakuja kuona nyoto nyota..unaishi na mwanamke we unatoka kwenda kazini na yey anatoka mmekuwa wachawi nn?
Yeap yeap nilienda usukumani dah !! Hawa watu wanaheshimika sana tulienda kwa jamaa aisee ana mke wake wako kweny ndoa kama miaka 15 ivi watoto ni wakubwa ila Yale mapokezi mke kwanza kakita goti ,kaletewa maji ya kunawa mda wa kula na sisi tulikuwa wageni ,mke hajakula nilivyogundua mpaka tumemaliza ,vyombo vimetolewa ,tumekaa mpaka tukaondoka kwa mbali namuona jikoni anakula na mdada wa kazi Tena pamoja wanapiga stori kabisa.Na ili uogopwe na binadamu lazima uwe na power na hiyo power ni pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vema kusikiliza maneno ya wazee
KweliGari mbovu haivutwi na gari mbovu,
Gari mbovu huvutwa na gari nzima,
Nimekuelewa sana mtoa mada,
Juzi nilikutana na bibi mmoja mtu mzima maeneo fulani,
Aliponitazama nikampa haki yake ya shikamoo,
Ajabu akaikataa,
Kumuangalia vizuri yule bibi, kumbe ni classmate wangu primary school..
Mtoa mada umenena vyema sana,
Mkuu huyo ni mama siyo bibi mkuu.Gari mbovu haivutwi na gari mbovu,
Gari mbovu huvutwa na gari nzima,
Nimekuelewa sana mtoa mada,
Juzi nilikutana na bibi mmoja mtu mzima maeneo fulani,
Aliponitazama nikampa haki yake ya shikamoo,
Ajabu akaikataa,
Kumuangalia vizuri yule bibi, kumbe ni classmate wangu primary school..
Mtoa mada umenena vyema sana,
Siyo kuzeeka mwanamke wakileo wengi wao wakisha zaa tu watoto wanakuwa na mwili mkubwa sawa na Mama zetu.Hii mimi sijawahi kuikubali kabisa kwasababu mwanamke ninaeishi naye nimemzidi mwaka mmoja tu ( classmate wangu), kila kitu kipo sawa kabisa. Hao wengine mnawazeesha nyinyi wenyewe kwa umasikini na shida zenu.
Kwenye mahusiano, issue ni mwanamke akupende sana for real kisha ujue kutekeleza majukumu yako, hakuna kingine.