Unasema na waliokosa ajira ama hata waliopata?Nimeona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri sana lakini maisha yanawapiga vibaya kwasababu wanafikiri elimu za darasani ndio kila kitu katika maisha. Nope, sio kweli. Nawafahamu watu wengi tu walioishia darasa la saba na wengine hawajui hata kusoma vizuri lakini ni matajiri wakubwa na wameajiri wasomi kuhesabu pesa zao!
Vijana mnapaswa kuelewa kuwa elimu za darasani ni utangulizi mdogo tu na humpa mtu zana (tools) na anahitaji akili nyingine kuweza kuzitumia zana hizi na kufanikiwa. Kama kuna watu wanapaswa kujiongeza ni fresh graduates vinginevyo elimu waliyonayo haiwezi kuwasaidia kujikimu katika mazingira ya sasa.
Akili ya mtaa 😃
Huyu jamaa anataka kuongea na cluster fulani hiv yeye hajaianisha. Anataka kutoa wosia au ushauri nasaha lakin hajasema unamlenga nani wosia ule.Akili ni akili tu!
Akili za darsani ndio hizo hizo akili za nje ya darasa!
Hata walopata ajira wasipotumia "akili za kuzaliwa" watabaki hapo hapo wakihesabu pesa za watu.Unasema na waliokosa ajira ama hata waliopata?
Ni vitu viwili tofauti kabisa. Mara nyingi akili za darasani ni nadharia za mambo wakati akili za kufanikiwa ni akili vitendo, i.e. kujua sio tu NINI cha kufanya bali pia NAMNA ya kufanya.Akili ni akili tu!
Akili za darsani ndio hizo hizo akili za nje ya darasa!
Hakuna mtu atakufundisha kila kitu katika maisha mathalan mafanikio. Unapaswa kutumia akili zako kujifunza namna ya kufanikiwa kwa kuanza kutenda kwa vitendo huku ukichanganya na nadharia unazopata kutoka darasani na kwa watu wengine, vinginevyo huendi mahali.Hizi nyuzi za dizaini hii hua zimekaa kiwaki Sana na ndo zinasababisha vijana waone darasani hakuna maana sababu ya mabush loya mnaojikuta malejendali wa hustle za mtaa!
Msiwapanikishe madogo maana asilimia kubwa ya hizo akili za mtaa mnazoringiaga hua ni dili feki feki ama haramu..
Sasa dogo kasomea Udaktari wa Madawa unataka ajiongeze kitaa kuuza madawa ya kulevya ama??
Wapeni basi hizo mbinu humu.. ukiulizwa utaskia oooh! dogo jiongezee.. ishu ziko nyingi za kufanya. Shubaameet!
Wakijiongeza mnaanza kuwaita machawa mara ooh wanaharaka za maisha, non sense kavu!!
Akili mtu huzaliwa nayo, darasa hunoa tu ile akili ya asili (common sense).Nimeona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri sana lakini maisha yanawapiga vibaya kwasababu wanafikiri elimu za darasani ndio kila kitu katika maisha. Nope, sio kweli. Nawafahamu watu wengi tu walioishia darasa la saba na wengine hawajui hata kusoma vizuri lakini ni matajiri wakubwa na wameajiri wasomi kuhesabu pesa zao!
Vijana mnapaswa kuelewa kuwa elimu za darasani ni utangulizi mdogo tu na humpa mtu zana (tools) na anahitaji akili nyingine kuweza kuzitumia zana hizi na kufanikiwa. Kama kuna watu wanapaswa kujiongeza ni fresh graduates vinginevyo elimu waliyonayo haiwezi kuwasaidia kujikimu katika mazingira ya sasa.
Nani anahesabiwa pesa zake na wasomi? Wewe hapo ulipo pesa zako unahesabiwa na nani na jana mauzo ulipata kias gni pamoja na akili zako?Hata walopata ajira wasipotumia "akili za kuzaliwa" watabaki hapo hapo wakihesabu pesa za watu.
Kwahiyo wewe;Nimeona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri sana lakini maisha yanawapiga vibaya
Ukiangalia coment yangu namba 5 au 4 nilisema huyu anataka kutoa ushaur wa mambo ya akili lakin akili zake yeye mwenyew zimeshindwa kumshauri nani amlenge katika ushaur wakeKwahiyo wewe;
- Hujawahi kuona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri na maisha hayawapigi?
- Hujawahi kuona vijana wengi ambao hawajasoma mpaka chuo kikuu na maisha yanawapiga vibaya sana?
Au wewe ume focus tu kwa waliosoma chuo kikuu na maisha yanawapiga
Nani anapinga jambo hilo?Kwahiyo wewe;
- Hujawahi kuona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri na maisha hayawapigi?
Hakuna anyayesema kinyume na hilo.- Hujawahi kuona vijana wengi ambao hawajasoma mpaka chuo kikuu na maisha yanawapiga vibaya sana?
Wewe ukisikia darasani unafikiri ni kule kwenye madarasa na ubao mweusi na chaki. Angalia context ya andiko la sivyo maisha yatakupiga vibaya.Au wewe ume focus tu kwa waliosoma chuo kikuu na maisha yanawapiga
Wewe ndio mfano halisi wa vijana wasio na hoja, kwani nimekuongelea wewe binafsi hapa. Na je hujui kama kuna matajiri wengi tu wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu na wameajiri wasomi wafanye hayo kwa ajili yao?Nani anahesabiwa pesa zake na wasomi? Wewe hapo ulipo pesa zako unahesabiwa na nani na jana mauzo ulipata kias gni pamoja na akili zako?