NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,987
Ongelea context, tatizo una uelewa mdogo sana, unatakiwa ujue kuwa maskini ni tokeo la mfumo. Na mfumo huohuo unatoa matajiri wachache mana ji pyramidal schemed. Ukianza kuleta uchambuzi hauna data, hauna viwango na unazungumzia watu matajiri kuhesabiwa hela na wasomi ndio.Wewe ndio mfano halisi wa vijana wasio na hoja, kwani nimekuongelea wewe binafsi hapa. Na je hujui kama kuna matajiri wengi tu wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu na wameajiri wasomi wafanye hayo kwa ajili yao?
Nkaakuuliza kwamba katika dunia ya hao wachache na wewe upo? It's very clear kwamba hakuna asietaka kuwa tajiri hata hao maskini hawautaki. Wewe umeona uongee kufurahisha genge ial hauna "scientific argument"