Kijana ukitegemea tu akili za darasani utafeli maisha vibaya

Wewe ndio mfano halisi wa vijana wasio na hoja, kwani nimekuongelea wewe binafsi hapa. Na je hujui kama kuna matajiri wengi tu wasiojua kusoma, kuandika na kuhesabu na wameajiri wasomi wafanye hayo kwa ajili yao?
Ongelea context, tatizo una uelewa mdogo sana, unatakiwa ujue kuwa maskini ni tokeo la mfumo. Na mfumo huohuo unatoa matajiri wachache mana ji pyramidal schemed. Ukianza kuleta uchambuzi hauna data, hauna viwango na unazungumzia watu matajiri kuhesabiwa hela na wasomi ndio.

Nkaakuuliza kwamba katika dunia ya hao wachache na wewe upo? It's very clear kwamba hakuna asietaka kuwa tajiri hata hao maskini hawautaki. Wewe umeona uongee kufurahisha genge ial hauna "scientific argument"
 
Labda anataka kuongeza na akili za SANGOMA
 
Vijana wengi kwa sasa wanatgemea uchawa, kwa hiyo tuna safari ndefu sana
 
Nyinyi hamchelewagi kufanya CHOCHOTE ili muonekane mmefanikiwa mbele za watu kumbukeni kupata kuna Mungu

Na kitakwimu watu ambao hawakubahatika kusoma na wanashindwa hata kupata mahitaji yao ya msingi( chakula,nguo na makazi) ni wengi kuliko waliokwenda shule

Punguzeni matarajio mafanikio sio pesa tu na kama wewe unahisi ni pesa ni kwa upande wako boss
 
Hawez kukuelew huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…