Hili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa.
Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado vijana wenzio na wazee hawatakuamini.
Wanachojua ni kuwa umefata ulaji tu.
Sambamba na hayo watu wanaanza kukuogopa kuwa wewe:
Bahati mbaya sana ndio chama kiko madarakani.

- Ni mla rushwa tu
- Mpenda sifa
- Fisadi
- Mpenda kujipendekeza
- Mnafiki
- Usiyependa maendeleo ya wengine.