cc Twaweza Results 2016Hili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa.
Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado vijana wenzio na wazee hawatakuamini.
Wanachojua ni kuwa umefata ulaji tu.
Sambamba na hayo watu wanaanza kukuogopa kuwa wewe:
Mambo haya yamekifanya chama hiki kutopendwa kabisa na vijana wenye maono.
- Ni mla rushwa tu
- Mpenda sifa
- Fisadi
- Mpenda kujipendekeza
- Mnafiki
- Usiyependa maendeleo ya wengine.
Bahati mbaya sana ndio chama kiko madarakani.
Tuendeled kujadili hiki kama vijana tujitoe kwenye aibu hiiHili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa.
Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado vijana wenzio na wazee hawatakuamini.
Wanachojua ni kuwa umefata ulaji tu.
Sambamba na hayo watu wanaanza kukuogopa kuwa wewe:
Mambo haya yamekifanya chama hiki kutopendwa kabisa na vijana wenye maono.
- Ni mla rushwa tu
- Mpenda sifa
- Fisadi
- Mpenda kujipendekeza
- Mnafiki
- Usiyependa maendeleo ya wengine.
Bahati mbaya sana ndio chama kiko madarakani.
Sina chama ila ni bora nishabikie ccm kuliko kusgabikia upinzani ambao mpaka sasa sio sera yao strong ambayo inawagusa wananchi moja kwa moja.Hili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa.
Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado vijana wenzio na wazee hawatakuamini.
Wanachojua ni kuwa umefata ulaji tu.
Sambamba na hayo watu wanaanza kukuogopa kuwa wewe:
Mambo haya yamekifanya chama hiki kutopendwa kabisa na vijana wenye maono.
- Ni mla rushwa tu
- Mpenda sifa
- Fisadi
- Mpenda kujipendekeza
- Mnafiki
- Usiyependa maendeleo ya wengine.
Bahati mbaya sana ndio chama kiko madarakani.
Tuendeled kujadili hiki kama vijana tujitoe kwenye aibu hii
Wewe ni CCM.Acha uongo.Sina chama ila ni bora nishabikie ccm kuliko kusgabikia upinzani ambao mpaka sasa sio sera yao strong ambayo inawagusa wananchi moja kwa moja.
Mkuu basi jipe muda ufatilie siasa za upinzani. Utakuwa unasema uongo ukisema huoni umuhimu wa hoja zao. Otherwise wewe ni ccm damu damu.Sina chama ila ni bora nishabikie ccm kuliko kusgabikia upinzani ambao mpaka sasa sio sera yao strong ambayo inawagusa wananchi moja kwa moja.
Kweli nilikutana na bibi mmoja kule Kyela nikamuuliza mbona unapenda ccm akasema sio naipenda na wala siipigii kura natafuta pesa tu. Wakati wa Uchaguzi alipata jumla elfu 80 za hapa na pale kama hongoHilo lipo wazi. Hauwezi kumkuta kijana msomi anaishabikia CCM bila kunufaika nacho. Fanya utafiti ni ukweli mtupu!
Kina mama wenyewr huwa wananufaika kipindi cha kampeni kwa kupewa elfu mbili mbili kima cha chini, kanga, tisheti + viremba!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sawa Kaka mkubwaAcha uwongo mtoto mdogo wewe, act your own age puliziii[emoji35]
🤣🤣🤣Wewe ni CCM.Acha uongo.
Lowasa Mwizi ndio ni vile tu serikali ya ccm haikumpeleka mahakamaniWrite your reply...nani anapenda shida mlivyo tudanganya lowasa mwizi tukadundwa tukatoka nduki kwa mguu tandika mpaka kimara. Halafu akaja chadema eti oi siyo mwivi aliye msingizia nani mnapenda sana drama eeh tuacheni tupumue na huyo mbeligiji wenu uchwala siupendi upinzani kama ugonjwa%@¿?#
Mazezeta wanatumiwa tu na wajanja wachache bila wao kujijuaHili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa.
Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado vijana wenzio na wazee hawatakuamini.
Wanachojua ni kuwa umefata ulaji tu.
Sambamba na hayo watu wanaanza kukuogopa kuwa wewe:
Mambo haya yamekifanya chama hiki kutopendwa kabisa na vijana wenye maono.
- Ni mla rushwa tu
- Mpenda sifa
- Fisadi
- Mpenda kujipendekeza
- Mnafiki
- Usiyependa maendeleo ya wengine.
Bahati mbaya sana ndio chama kiko madarakani.
Heee!!Upinzani ni uasi na uasi umeasisiwa na ibilisi... Sijasema sisiemu chama cha mungu lakini naomba nieleweke hapo
Lakini wanafaidi chochote.Mazezeta wanatumiwa tu na wajanja wachache bila wao kujijua
Hamna kitu wanapata. Kina Lucas mwashambwa wanaishia kuandika namba zao za simu na hawapati chochoteLakini wanafaidi chochote.