Kijana unapo ingia kwenye siasa, nakusihi itazame kama ajira yeyote ile.

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Itoshe tu kusema kwamba itifaki imezingatiwa.
Back to the point.....
Ukweli ni kwamba, ifike wakati sasa vijana wajitambue, na waache harakati ambazo zimekua zikiwagombanisha na mamlaka hata mihimili yake.
Haya yote yanayo tokea sio kwa bahati mbaya (kumbe ni ajira za watu), kwasasa hapa kwetu siasa ni ajira rasmi.
Nawasihi vijana achaneni na maandamano, harakati na hata ushabiki kwa wanasiasa kwenye majukwa.

I'm done....
 
sasa mzee wakiachana na hayo hao jamaa wanaolipwa kwa kuthubutu kuua na kutupa watu hifadhini unatarajia watakulaje wao(maana watakua hawana ajira).Mimi nadhan vijana wajiingize kwa wingi siasani na harakatini na waongeze matusi zaidi ili angalau fedha za mafisadi walipwe wasiojulikana.Wasiojulikana wasipokuwepo na wanaharakati wasiwepo sasa tatizo la ajira litakuwa kubwa zaidi😂
 
Itoshe tu kusema kwamba itifaki imezingatiwa.
Back to the point.....
Ukweli ni kwamba, ifike wakati sasa vijana wajitambue, na waache harakati ambazo zimekua zikiwagombanisha na mamlaka hata mihimili yake.
Haya yote yanayo tokea sio kwa bahati mbaya (kumbe ni ajira za watu), kwasasa hapa kwetu siasa ni ajira rasmi.
Nawasihi vijana achaneni na maandamano, harakati na hata ushabiki kwa wanasiasa kwenye majukwa.

I'm done....
Pole kwa kuumia sana mkuu

Naona kibuti Cha Msigwa kimekuumiza sana
 
Itoshe tu kusema kwamba itifaki imezingatiwa.
Back to the point.....
Ukweli ni kwamba, ifike wakati sasa vijana wajitambue, na waache harakati ambazo zimekua zikiwagombanisha na mamlaka hata mihimili yake.
Haya yote yanayo tokea sio kwa bahati mbaya (kumbe ni ajira za watu), kwasasa hapa kwetu siasa ni ajira rasmi.
Nawasihi vijana achaneni na maandamano, harakati na hata ushabiki kwa wanasiasa kwenye majukwa.

I'm done....
Hili la maana sana umeshauri mkuu. Tatizo vijana wanaona kama siasa
1. Haiwahusu
2. Ni kazi za wazee
3. Kazi za wenye pesa
Lakini ukweli ni kwamba siasa huwezi kuitenganisha na maisha yako ya kila siku, siasa ni maji, tiba, ajira, kilimo kiufupi siasa unaamua ule nini uvae nini kwa sheria zinazotungwa na wanasiasa.
Pili wazee walikuwepo jana na leo. Ila vijana mpo leo, kesho na ikipidi hadi keshokutwa mtakuwepo, hivyo jitokezeni kugombea nafasi mbalimbali kuitengeneza kesho na kesho kutwa yenu iliyonjema, wazee hawawezi kukutengenezea kesho iliyonjema.
Ni kweli vijana hawana pesa ya kuhonga wapiga kura, lakini tumieni uwingi wenu kubebana ili kutawaza vijana wenzenu, himizaneni kupigiana kura, shirikianeni kuinua vijana kwa vijana kusudi wakawasemee kutengeneza kesho yenu iliyobora. Mbaya zaidi mnasalitiana kwa kuhongwa pesa na wazee na kuwa wabeba mabegi ya wazee na kuwa MACHAWA. Mtasota sana na mazee yakiendelea kuwalambisha Sukari huku mkitema bigiji.
 
naonga mkono hoja 🐒
 
lakini vijana mbona tupo na tumejaa tele,
na tunafanya hii siasa kwa bidii sana lakini tuko serious mno pia 🐒
 
Ni kweli mpo ila mmetawanyika sana kuweni wanoja kuanzia kijiji, kata hadi jimbo. Mkihimizana vijana wa kijiji mkajiandikisha, mkaweka mgombea wenu, siku ya kura mkajitokeza wote kijana lazima ashinde maana kwa sensa inaonesha vijana ndiyo kundi kubwa. Mkafanya hivyo kwa madiwani na Mbunge mbona bunge lote linajaa vijana tuu. Tatizo hamna umoja, kuanzia kujiandikisha, kuhimizana kwenda kupiga kura, wengine wanataka mafanikio ya haraka wanahongwa na hao wazee walioko madarakani mnasalitiana. Ni ngumu sana.
 
gentleman,
mbona wazee ni kama hamna tu saivi kuanzia huku vijijini,
kuanzia kwenye vyama vya siasa mathalani chama changu kwenye tawi langu ni katibu Mkuu pekee ndie Mzee, wengine wote ni vijana...

wenyeviti wa vitongoji, mwenyekiti wa kijiji na waandamizi wake wote vijana wabichi kabisa kijini kwangu..

mwenyekiti wa halmashuri ni kijana mno, na karibia madiwani wote ni vijana kasoro madiwani wachache mno wazee ambao nadhani watajitafakari uchaguzi ujao kutokana na mziki wa vijana unavyowapelekesha....

Muzee mwingine,
ninae muona ni mwenyekiti wa chama wilaya yangu. huyu nae awamu ijayo ya uchaguzi sina shaka atajitafakari...

kiufupi,
vijana tupo tumejimobilise, na topu very organized na tunasonga mbele vizuri mno pamoja, maybe ulipo 🐒
 
Itoshe tu kusema kwamba itifaki imezingatiwa.
Back to the point.....
Ukweli ni kwamba, ifike wakati sasa vijana wajitambue, na waache harakati ambazo zimekua zikiwagombanisha na mamlaka hata mihimili yake.
Haya yote yanayo tokea sio kwa bahati mbaya (kumbe ni ajira za watu), kwasasa hapa kwetu siasa ni ajira rasmi.
Nawasihi vijana achaneni na maandamano, harakati na hata ushabiki kwa wanasiasa kwenye majukwa.

I'm done....
Ipo ivo toka zamani
 
nilifikili una tushauli vijana tuipambanie ajila ya kwenye siasa ili tujikomboe na kukomboa wengine na tuwe na kaulimbiu vijana chama chochote kikipitisha mzee hatuchagui mzee
 
Itoshe tu kusema kwamba itifaki imezingatiwa.
Back to the point.....
Ukweli ni kwamba, ifike wakati sasa vijana wajitambue, na waache harakati ambazo zimekua zikiwagombanisha na mamlaka hata mihimili yake.
Haya yote yanayo tokea sio kwa bahati mbaya (kumbe ni ajira za watu), kwasasa hapa kwetu siasa ni ajira rasmi.
Nawasihi vijana achaneni na maandamano, harakati na hata ushabiki kwa wanasiasa kwenye majukwa.

I'm done....
Nyumbu wale wanaendeshwa kijinga na Machadema ndio labda wanajua tofauti ila hapa Tanzania siasa ni ajira👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C82DWWDqW2A/?igsh=MmJqZ3IwbHM3dHJl

Baadae ikawa hivi 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C82M_OVMNFf/?igsh=MTRsMHY1ZDA5cWlnZw==
 
gentleman,
mbona wazee ni kama hamna tu saivi kuanzia huku vijijini,
kuanzia kwenye vyama vya siasa mathalani chama changu kwenye tawi langu ni katibu Mkuu pekee ndie Mzee, wengine wote ni vijana...

wenyeviti wa vitongoji, mwenyekiti wa kijiji na waandamizi wake wote vijana wabichi kabisa kijini kwangu..

mwenyekiti wa halmashuri ni kijana mno, na karibia madiwani wote ni vijana kasoro madiwani wachache mno wazee ambao nadhani watajitafakari uchaguzi ujao kutokana na mziki wa vijana unavyowapelekesha....

Muzee mwingine,
ninae muona ni mwenyekiti wa chama wilaya yangu. huyu nae awamu ijayo ya uchaguzi sina shaka atajitafakari...

kiufupi,
vijana tupo tumejimobilise, na topu very organized na tunasonga mbele vizuri mno pamoja, maybe ulipo 🐒
Nimeipenda hii sehemu zote zikiwa kama huko, itapendeza sana. Chukueni maua yenu👏👏👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom