Kuna Dar es salaam na dar es salaam, ss nyie wa dar endeleeni kukutana kwa "mama kamche"Sisi wazawa wa dar es salaam na hasa watoto wa mjini..kwa kawaida baada ya mizunguko yoote na stress za mjini jioni tunajumuika kwa mama kamche pale mwenge kupata moja moto moja baridi.
Hapo ndipo tunakutaga na wadau wote wa mjini kuweka mambo sawa.
Sisi wazawa wa dar es salaam na hasa watoto wa mjini..kwa kawaida baada ya mizunguko yoote na stress za mjini jioni tunajumuika kwa mama kamche pale mwenge kupata moja moto moja baridi.

na dar ni daredaKuna Dar es salaam na dar es salaam, ss nyie wa dar endeleeni kukutana kwa "mama kamche"
Inategemea na dar na ipi na ni namna gani uko ki born town.. Hapa tunazungumzia wajanja wa town.. Sasa wewe unaishi ushuani unamuibia mama yako hela alizoachiwa za matumuzi na mzee utapajuaje kwa mama kamche??mi nimezaliwa dar.. nimesoma dar, na ajira dar.. ila sipajui hata kwa mama kamche ndio wapi
je ni bar nzuri kuliko tips, havoc, governor, high spirit etc??
je kuna malaya wengi kuliko corner bar au kimboka?
je kuna mziki mzuri kuliko element au next door?
je kuna upepo mwanana kuliko slip way?
je kuna msosi mtamu kuliko mandi almaida lumumba au kwa sele bonge?
Ha ha ha haaaaa... Katesh kabisa.na dar ni dareda
Umezaliwa wapi mzee..kivule domo la simba au yombo dovya kwa bi arafa??mi nimezaliwa dar.. nimesoma dar, na ajira dar.. ila sipajui hata kwa mama kamche ndio wapi