Kijana Unawezaje kuishi Dar bila kufika bar ya "Mama Kamche"?

mi nimezaliwa dar.. nimesoma dar, na ajira dar.. ila sipajui hata kwa mama kamche ndio wapi

je ni bar nzuri kuliko tips, havoc, governor, high spirit etc??

je kuna malaya wengi kuliko corner bar au kimboka?

je kuna mziki mzuri kuliko element au next door?

je kuna upepo mwanana kuliko slip way?

je kuna msosi mtamu kuliko mandi almaida lumumba au kwa sele bonge?

Bar ya kichovu hatari...
 
Jibu nene
 
MZEE BABA UMEMALIZA VYOTE NILIVYOJUA NATAKA KUVITAJA YELEWW
 
Kwani vijana wote Dar wanakunywa pombe!? Au kuna shughuli nyingine zaidi ya pombe labda tuijue kwanza
 
Back
Top Bottom