Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Shamba hasa Jambiani, Paje, Michamvi mpaka Bwejuu. Kuna sehem inaitwa Pwani mchangani, Kiwengwa mpaka Matemwe. Mengine sijawah kufikaOkay ni hela nzuri lakini sasa kama ni mtu mgeni ndio ameenda kwa mara ya kwanza atumie mbinu gani kuzipata hizo kazi au aende mazingira ya wapi ili azipate hizo kazi au kuna kampuni maalum ndio wanachukua wafanyakazi?