Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Vijana wengi siku hizi tumekuwa na makasiriko mengi kuhusu mahusiano. Mara nyingi kesi ikiwa ni usaliti. Sasa unapaswa kuelewa haya nitaanza na wanawake kisha nitafatia wanaume.
elewa kwamba.
1; Wanawake wengi Siku hizi wana wanaume wawili. Yaani waziri wa fedha na waziri wa ndani..
2;. Weekend hizi chips wanazokula wadada jua kuwa after that wanaenda kulipa fadhila kwa kuliwa kifo chake mende..
Point kubwa ni kuwa gharamikia wewe ili mpenzi wako asije lishwa chipsi na mtu mwengine..
3; Mwanamke akikwambia amekumic. Wewe tuma hela acha kumjibu eti mic you too.. Acha udwanzi wewe wajanja watatuma na ya kutolea.
4: Mapenzi bila pesa inawezekana lakini hayanogi . Yaani mnakuwa mnaishi kwa wasiwasi kama vile mnachemsha maziwa.
5: Kwa wale vijana wenye dem (pisi). Usimuulize huyo pisi wako "umekula"? Hayo wanaulizana wazungu hawa black mamba wetu hapo ndio utakuwa umefungua mlango wa kukutajia shida zote.
6: Unamwambia mwanamke eti umependeza na hugharamikii . Huoni aibu wewe ngedere?
7: Maneno ya kuitana baby sijui soulmate yamepitwa na wakati ikiwa hugharamikii. Siku hizi hata polisi wanatumia jina dear. Utaskia " my dear ur under arrest"
LA mwisho .
Ukiona unawaelewa wanawake ujue umeanza kufa.