Kijana unayetaka kuoa au mwenye mpenzi soma haya

Mi nachofaamu mwanamke akikupenda hataki pesa yako sana . Nilikua na demu piace sana tulikutanaga tu club alikua na usafiri binafsi mi sina ata toyo ila tukakaa counter. Baada ya story mbili tatu akatokea kunielewa na nilimpa Siku ya kwanza elfu 40 then akaniletea zawad ya shat na suruale na saa inamaana ile 40 kanirudishia kwa namna nyingine. Nikimpa ata 20 ya mafuta ananiambia siji kwako kwajili ya pesa nikaona niwe nampa zawad ata ya necklaces .

Nilikuja kugundua amezaa na kigogo mmoja anafanya kazi EAC maana kuna siku alikuja na gar yenye diplomatic number plate nilipombana sana akanifungukia . Niliamua kumuacha nisije Chezea risas zakichwa nishindwe kusubiri pilau la rungwe . Though kuna wanawake wanajielewa sana sema so wengi sasa
 
Mi nachofaamu mwanamke akikupenda hataki pesa yako sana . Nilikua na demu piace sana tulikutanaga tu club alikua na usafiri bi afsi mo sina ata toyo ila tukakaa counter story mbili tatu akatokea kunielewa na nilimpa Sikh ya kwanza 40 then akaniletea zawad ya shat na suruale na saa inamaana ile 40 kanirudishia kwa namna nyingine. Nikimpa ata 20 ya mafuta ananiambia siji kwako kwajili ya pesa nikaona niwe nampa zawad ata ya necklaces .

Nilikuja kugundua amezaa na kigogo mmoja anafanya kazi EAC maana kuna siku alikuja na gar yenye diplomatic number plate nilipombana sana akanifungukia . Niliamua kumuacha nisije Chezea risas zakichwa nishindwe kusubiri pilau la rungwe . Though kuna wanawake wanajielewacsana sema so wengi
Naomba no yake nimsalimie na kumpongeza kwa jinsi anavyojielewa mkuu
 
IMG_20200826_205111.jpg
 
Mi nachofaamu mwanamke akikupenda hataki pesa yako sana . Nilikua na demu piace sana tulikutanaga tu club alikua na usafiri binafsi mi sina ata toyo ila tukakaa counter. Baada ya story mbili tatu akatokea kunielewa na nilimpa Siku ya kwanza elfu 40 then akaniletea zawad ya shat na suruale na saa inamaana ile 40 kanirudishia kwa namna nyingine. Nikimpa ata 20 ya mafuta ananiambia siji kwako kwajili ya pesa nikaona niwe nampa zawad ata ya necklaces .

Nilikuja kugundua amezaa na kigogo mmoja anafanya kazi EAC maana kuna siku alikuja na gar yenye diplomatic number plate nilipombana sana akanifungukia . Niliamua kumuacha nisije Chezea risas zakichwa nishindwe kusubiri pilau la rungwe . Though kuna wanawake wanajielewa sana sema so wengi sasa
Soma hapo namba moja ndo hii sasa
 
Asilimia kubwa ya ulichokiandika ni pesa tu

Sijui mnatuchukuliaje
😂😂😂😂 afu kweli.. Zote ni pesa... Vipi nawe ni "pisi" ama?
Neno "pisi" utalipata kwenye point namba 5 ya kwenye huu uzi.
 
Wanaume tumejisahau sana hivi bila hawa wanawake maisha hayaendi kwani...? Punguzeni kujipendekeza
Nasubiria siku wanaume watakomboka na huu undezi tunajengewa......

Yaani pesa yangu ninayotafuta kwa shida, kutukanwa, kudharauliwa, kukejeliwa, na kutokwa jasho, mtu anataka nimpe akanunulie chips, akaseti nywele, sijui akapake rangi kucha all of that kwa malipo ya kulala nae tu ambayo pia mimi ndio nafanya kazi ya ziada yeye afuraie tena.....

Hii ni exploitation ya karne.....
 
Vijana wengi siku hizi tumekuwa na makasiriko mengi kuhusu mahusiano. Mara nyingi kesi ikiwa ni usaliti. Sasa unapaswa kuelewa haya nitaanza na wanawake kisha nitafatia wanaume.
elewa kwamba.

1; Wanawake wengi Siku hizi wana wanaume wawili. Yaani waziri wa fedha na waziri wa ndani..

2;. Weekend hizi chips wanazokula wadada jua kuwa after that wanaenda kulipa fadhila kwa kuliwa kifo chake mende..

Point kubwa ni kuwa gharamikia wewe ili mpenzi wako asije lishwa chipsi na mtu mwengine..

3; Mwanamke akikwambia amekumic. Wewe tuma hela acha kumjibu eti mic you too.. Acha udwanzi wewe wajanja watatuma na ya kutolea.

4: Mapenzi bila pesa inawezekana lakini hayanogi . Yaani mnakuwa mnaishi kwa wasiwasi kama vile mnachemsha maziwa.

5: Kwa wale vijana wenye dem (pisi). Usimuulize huyo pisi wako "umekula"? Hayo wanaulizana wazungu hawa black mamba wetu hapo ndio utakuwa umefungua mlango wa kukutajia shida zote.

6: Unamwambia mwanamke eti umependeza na hugharamikii . Huoni aibu wewe ngedere?

7: Maneno ya kuitana baby sijui soulmate yamepitwa na wakati ikiwa hugharamikii. Siku hizi hata polisi wanatumia jina dear. Utaskia " my dear ur under arrest"

LA mwisho .
Ukiona unawaelewa wanawake ujue umeanza kufa.
4.
Maana mnakuwa mnaishi kwa wasiwasi kama vile mmechemsha maziwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2969].
 
Nasubiria siku wanaume watakomboka na huu undezi tunajengewa......

Yaani pesa yangu ninayotafuta kwa shida, kutukanwa, kudharauliwa, kukejeliwa, na kutokwa jasho, mtu anataka nimpe akanunulie chips, akaseti nywele, sijui akapake rangi kucha all of that kwa malipo ya kulala nae tu ambayo pia mimi ndio nafanya kazi ya ziada yeye afuraie tena.....

Hii ni exploitation ya karne.....
Kwa kweli unasema kweli lakini utafanyaje?
No money no pussy
Nenda na hilo beat ivo ivo mkuu
 
Vijana wengi siku hizi tumekuwa na makasiriko mengi kuhusu mahusiano. Mara nyingi kesi ikiwa ni usaliti. Sasa unapaswa kuelewa haya nitaanza na wanawake kisha nitafatia wanaume.
elewa kwamba.

1; Wanawake wengi Siku hizi wana wanaume wawili. Yaani waziri wa fedha na waziri wa ndani..

2;. Weekend hizi chips wanazokula wadada jua kuwa after that wanaenda kulipa fadhila kwa kuliwa kifo chake mende..

Point kubwa ni kuwa gharamikia wewe ili mpenzi wako asije lishwa chipsi na mtu mwengine..

3; Mwanamke akikwambia amekumic. Wewe tuma hela acha kumjibu eti mic you too.. Acha udwanzi wewe wajanja watatuma na ya kutolea.

4: Mapenzi bila pesa inawezekana lakini hayanogi . Yaani mnakuwa mnaishi kwa wasiwasi kama vile mnachemsha maziwa.

5: Kwa wale vijana wenye dem (pisi). Usimuulize huyo pisi wako "umekula"? Hayo wanaulizana wazungu hawa black mamba wetu hapo ndio utakuwa umefungua mlango wa kukutajia shida zote.

6: Unamwambia mwanamke eti umependeza na hugharamikii . Huoni aibu wewe ngedere?

7: Maneno ya kuitana baby sijui soulmate yamepitwa na wakati ikiwa hugharamikii. Siku hizi hata polisi wanatumia jina dear. Utaskia " my dear ur under arrest"

LA mwisho .
Ukiona unawaelewa wanawake ujue umeanza kufa.
Mapenzi pesatu
 
Back
Top Bottom