zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Kwa hiyo unapenda atakaye kuoa awe ameshatafuta au mtatafuta wote majaliwa[emoji23][emoji847]Sidhani kama kipo kiumbe hakipendi pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unapenda atakaye kuoa awe ameshatafuta au mtatafuta wote majaliwa[emoji23][emoji847]Sidhani kama kipo kiumbe hakipendi pesa
Kwa hiyo unapenda atakaye kuoa awe ameshatafuta au mtatafuta wote majaliwa[emoji23][emoji847]
Nishazoea vidole havitulii sorry mshamba wa keyboard nikionaga opposite sex nakuwa extra activeSasa hizo emoj za kucheka hadi machozi za nini mzee
Nishazoea vidole havitulii sorry mshamba wa keyboard nikionaga opposite sex nakuwa extra active
. Joanah si unajua like poles repels unlike poles attract yaani furaha imezidi mpaka emoji haitoshi imeogopa kulia kisawasawaKuwa extra active ndio unacheka hadi machozi?
Yeah! It happens sometimesLike na unlike pole unamaanisha ni mimi na wewe sio?
Yeah! It happens sometimes
Cause your opposite to my sexKwanini mimi na wewe tuwe like na unlike poles?
Vijana wengi siku hizi tumekuwa na makasiriko mengi kuhusu mahusiano. Mara nyingi kesi ikiwa ni usaliti. Sasa unapaswa kuelewa haya nitaanza na wanawake kisha nitafatia wanaume.
elewa kwamba.
1; Wanawake wengi Siku hizi wana wanaume wawili. Yaani waziri wa fedha na waziri wa ndani..
2;. Weekend hizi chips wanazokula wadada jua kuwa after that wanaenda kulipa fadhila kwa kuliwa kifo chake mende..
Point kubwa ni kuwa gharamikia wewe ili mpenzi wako asije lishwa chipsi na mtu mwengine..
3; Mwanamke akikwambia amekumic. Wewe tuma hela acha kumjibu eti mic you too.. Acha udwanzi wewe wajanja watatuma na ya kutolea.
4: Mapenzi bila pesa inawezekana lakini hayanogi . Yaani mnakuwa mnaishi kwa wasiwasi kama vile mnachemsha maziwa.
5: Kwa wale vijana wenye dem (pisi). Usimuulize huyo pisi wako "umekula"? Hayo wanaulizana wazungu hawa black mamba wetu hapo ndio utakuwa umefungua mlango wa kukutajia shida zote.
6: Unamwambia mwanamke eti umependeza na hugharamikii . Huoni aibu wewe ngedere?
7: Maneno ya kuitana baby sijui soulmate yamepitwa na wakati ikiwa hugharamikii. Siku hizi hata polisi wanatumia jina dear. Utaskia " my dear ur under arrest"
LA mwisho .
Ukiona unawaelewa wanawake ujue umeanza kufa.
Cause your opposite to my sex
Instead of saying male and female nimetumia like and unlike poles [emoji4]
Mwandiko wako una ushahidi tosha juu ya jinsia yakoAsa una uhakika gani kama tuna jinsia tofauti?
Vijana wengi siku hizi tumekuwa na makasiriko mengi kuhusu mahusiano. Mara nyingi kesi ikiwa ni usaliti. Sasa unapaswa kuelewa haya nitaanza na wanawake kisha nitafatia wanaume.
elewa kwamba.
1; Wanawake wengi Siku hizi wana wanaume wawili. Yaani waziri wa fedha na waziri wa ndani..
2;. Weekend hizi chips wanazokula wadada jua kuwa after that wanaenda kulipa fadhila kwa kuliwa kifo chake mende..
Point kubwa ni kuwa gharamikia wewe ili mpenzi wako asije lishwa chipsi na mtu mwengine..
3; Mwanamke akikwambia amekumic. Wewe tuma hela acha kumjibu eti mic you too.. Acha udwanzi wewe wajanja watatuma na ya kutolea.
4: Mapenzi bila pesa inawezekana lakini hayanogi . Yaani mnakuwa mnaishi kwa wasiwasi kama vile mnachemsha maziwa.
5: Kwa wale vijana wenye dem (pisi). Usimuulize huyo pisi wako "umekula"? Hayo wanaulizana wazungu hawa black mamba wetu hapo ndio utakuwa umefungua mlango wa kukutajia shida zote.
6: Unamwambia mwanamke eti umependeza na hugharamikii . Huoni aibu wewe ngedere?
7: Maneno ya kuitana baby sijui soulmate yamepitwa na wakati ikiwa hugharamikii. Siku hizi hata polisi wanatumia jina dear. Utaskia " my dear ur under arrest"
LA mwisho .
Ukiona unawaelewa wanawake ujue umeanza kufa.
keep it up brother 😛 😛 😛Asa una uhakika gani kama tuna jinsia tofauti?
Mwandiko wako una ushahidi tosha juu ya jinsia yako
keep it up brother 😛 😛 😛
[emoji847][emoji847]zagarinojoHahahah haya mkuu
Nimekupenda sio mtu wa kureact,unajibu kila kitu ...uko vizuri,endelea kuwa hivi [emoji120]
Kaa hapa kijana...taratibu tu utafanikiwa[emoji847][emoji847]zagarinojo
[emoji848][emoji848][emoji848]Yaaas bro! [emoji5]