Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Soma namba moja utaelewa .Naona umeegemea tu upande wa wanawake ila kweny mada unasema umechambua na wanaume,badilisha maelezo ya hapo juu,ila la kuongezea tu,dem anaweza kutuma na ya kutolea ila akaisend kwa jamaa yake direct,na hawa unawaongeleaje?
Kwa wewe inawezekana ni kweli maana sijawahi kumskia don akilalama kupigwa vizingaAsilimia kubwa ya ulichokiandika ni pesa tu
Sijui mnatuchukuliaje
Kwa wewe inawezekana ni kweli maana sijawahi kumskia don akilalama kupigwa vizinga
Weee hapo kwenye unampa akitaka nimewaza mbali sana.Vizinga vya nini sasa wakati ananipa akijisikia na mie nampa nikitaka
Weee hapo kwenye unampa akitaka nimewaza mbali sana.
Ndo maana basi maan sisi hatupatani na man u nyumbu iweje jamaa anase hapo kumbe ndo sababu?
Relax my baby.Eti chipsi khaaaah!!
How old are you?
Umeshinda basiNdio akitaka muda wowote nampa 😂
Hata mimi sipatani na nyie lakini kwake sina ujanja
Lakini kuna mistari imejaa ukweli sio? Unakuta hata yaliyomo hayajajulikana, tayari ushaambiwa mama anaumwa, sina smart phone, napenda ku-date na mtu mwenye maono atakayeniwezesha ili tuweze kusaidiana kwenye maisha....wakati anakueleza yote hayo, anakunywa Bailey's na Ribs BBQ inaandaliwa jikoni huko, siku ya kwanza hiyo.Asilimia kubwa ya ulichokiandika ni pesa tu
Sijui mnatuchukuliaje
Asilimia kubwa ya ulichokiandika ni pesa tu
Sijui mnatuchukuliaje
Hata hivyo, ujasiri na maarifa ya kupiga mizinga ni somo mnalojifunzia wapi?
Unakuta ndiyo maisha aliyopitia mtoa mada si wote tunaowachukulia hivyo
Wengine tuna mitazamo tofauti juu yenu
Basi wewe utakuwa siyo mpenda pesa Ila mpenda penziAsilimia kubwa ya ulichokiandika ni pesa tu
Sijui mnatuchukuliaje
Basi wewe utakuwa siyo mpenda pesa Ila mpenda penzi