Kijana unayetaka kuoa au mwenye mpenzi soma haya

Mi nachofaamu mwanamke akikupenda hataki pesa yako sana . Nilikua na demu piace sana tulikutanaga tu club alikua na usafiri binafsi mi sina ata toyo ila tukakaa counter. Baada ya story mbili tatu akatokea kunielewa na nilimpa Siku ya kwanza elfu 40 then akaniletea zawad ya shat na suruale na saa inamaana ile 40 kanirudishia kwa namna nyingine. Nikimpa ata 20 ya mafuta ananiambia siji kwako kwajili ya pesa nikaona niwe nampa zawad ata ya necklaces .

Nilikuja kugundua amezaa na kigogo mmoja anafanya kazi EAC maana kuna siku alikuja na gar yenye diplomatic number plate nilipombana sana akanifungukia . Niliamua kumuacha nisije Chezea risas zakichwa nishindwe kusubiri pilau la rungwe . Though kuna wanawake wanajielewa sana sema so wengi sasa
 
Naomba no yake nimsalimie na kumpongeza kwa jinsi anavyojielewa mkuu
 
Soma hapo namba moja ndo hii sasa
 
Asilimia kubwa ya ulichokiandika ni pesa tu

Sijui mnatuchukuliaje
😂😂😂😂 afu kweli.. Zote ni pesa... Vipi nawe ni "pisi" ama?
Neno "pisi" utalipata kwenye point namba 5 ya kwenye huu uzi.
 
Wanaume tumejisahau sana hivi bila hawa wanawake maisha hayaendi kwani...? Punguzeni kujipendekeza
Nasubiria siku wanaume watakomboka na huu undezi tunajengewa......

Yaani pesa yangu ninayotafuta kwa shida, kutukanwa, kudharauliwa, kukejeliwa, na kutokwa jasho, mtu anataka nimpe akanunulie chips, akaseti nywele, sijui akapake rangi kucha all of that kwa malipo ya kulala nae tu ambayo pia mimi ndio nafanya kazi ya ziada yeye afuraie tena.....

Hii ni exploitation ya karne.....
 
4.
Maana mnakuwa mnaishi kwa wasiwasi kama vile mmechemsha maziwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2969].
 
Kwa kweli unasema kweli lakini utafanyaje?
No money no pussy
Nenda na hilo beat ivo ivo mkuu
 
Mapenzi pesatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…