Hizo muweke ninyi bhana,Atuwekee na za wanaume bwana
Kuna nyundo 30 jela zinakuita[emoji4],Ndo watamu.[emoji39]
Washazea mshuko hawataki mpando..πHizo muweke ninyi bhana,
Akiziweka za kwetu, Kwenye kikao chetu tutamtenga anatufanyia uhaini[emoji4]
Niko hapa nasubiria za Wanaume.Sawa mkuu ukimaliza tuwekee na za wanaume
πKuna nyundo 30 jela zinakuita[emoji4],
ukitoka uko kina melo na mods wake wote wanatembelea fimbo[emoji1787]
Sio kweli,Eehhh lazima kila mmoja ajue alipo nisahihi.
Tatizo moja kubwa sana , wanawake mlipewa uwezo mkubwa sana wakumjua mwanaume, lkn bado mwanaume anawashinda.
Ndio maana huwa siandiki kwa sababu najua haiwasaidii bado.
Ha ha ha....Washazea mshuko hawataki mpando..[emoji41]
Shunie ....., nitaandika tu 'Asomaye aelewe".Andika bwana Carlos
Shaur lako, Ni ntakua nakuletea TU sabuni uko segerea Kila j.mosi[emoji4][emoji849]
Uniletee na mchumba niwe napunguza upururu..πShaur lako, Ni ntakua nakuletea TU sabuni uko segerea Kila j.mosi[emoji4]
Hawatakagi ukweli[emoji1787]Shunie ....., nitaandika tu 'Asomaye aelewe".
Ona mfano, Kuna Bidada wiki ilopita nilichukua namba yake, na nikamwambia ,Nina familia,nahitaji urafiki nawewe wakawaida yaan Kufuck na mengine .
Bidada alinitukana sana sana matusi ya mbwa koko.
Sikumjibu... Lkn nikawa namtext...Mwanamke mzuriii nmemis kuona unavyotembeaa vizuri..na blaah blaaah kibao...akawa hajibu.
Leo kanitafuta mwenyewe wasap ,yaan mahaba mahabani !!
SIWEZI KUMLAUMU WALA KUMUONA MJINGA,, NI KWA SABABU MIMI MWENYEWE NDIO NMEMFANYA ASAHAU KUA ALINIKATALIA MWANZO.
So kwenu nyie wanawake. Huwa hata MTU mmjue vipi, kama mkimwelewa mnamwelewa ivoivo regardless ya ukweli ALOKWAMBIA......HISIA !!!.
Mchumba wa nn wkt utaolewa na nyapara uko uko jela[emoji3]Uniletee na mchumba niwe napunguza upururu..[emoji16]
Sawa mkuu ukimaliza tuwekee na za wanaume
Manina basi naacha wanafunzi..π€£Mchumba wa nn wkt utaolewa na nyapara uko uko jela[emoji3]
Mkulungwa Soda zenyewe ndo Uzi wanazofanyia matendo makubwa makubwa ya kutisha utadhan ni Avanguard Hypersonic Missile ya Warusi.[emoji23]Oya Mkulungwa umenena vyema asee... Chukua soda hapo kwa mangi