Kijana Usifanye Maisha na Aina hii ya Mwanamke!!

Mwongozo kwa vijana huu, Wanaume huwa mwanamke ambae hatufui au anayefaa huwa tunamwona kabisaa yan !! Na moyoni unajishuhudia hapa sina mtu [emoji2][emoji2][emoji2] ila ghafla ujitoa ufahamu unabeba chombo kwenye ndoa ! [emoji2][emoji2] unajipa moyo !
 
Muone na pua unabana kabisa eti try me.
Haha! You better stay cool if you don't know me.. kwanza enjoy muziki mzuri ukae kwa kutulia

Your browser is not able to play this audio.
 
Nimeona karuu kalike hii komenti yako akili zenu zinalingana tu..[emoji1787]
Mi mpole kinyama halafu sipendagi mamanzi mtu fulani hivi cool yani. Watoto wanadata wenyewe ileile
Umeona ulichotype Apo juu lakin[emoji3]

Yaan Unajiprove mwenywe,
Nikasema wee ni Kama kina joti ntakua sahii 100%

Wee Ni full of comedies, hujawai kua serious kabisa[emoji4]
 
Sasa hapo utakosa mke wa kuowa kwamba mwanamke gani atakosa vitu vyote hivyo yaani mkamilifu...

Huyo mwanamke ni mtakatifu
 
Umeona ulichotype Apo juu lakin[emoji3]

Yaan Unajiprove mwenywe,
Nikasema wee ni Kama kina joti ntakua sahii 100%

Wee Ni full of comedies, hujawai kua serious kabisa[emoji4]
Haha! Humo kwenye jokes ndo kuna u serious sasa..😃
 
Tatizo mademu wasiokua na mambo mengi na watiifu,,huwa wa ajabu ajabu machoni mwetu hawatuvutii hapo sasa ndo tunaingiaga mkenge.
 
Ndio maisha yalivyo. Hayana formula
 
Ndugu yangu katika imani watatokea wasio na hela za mawazo wataweka ndani hao hao unaowaona hawafai..kifupi hakuna mwanamke anayeshindwa kuwa mke bora kwa mwanaume mwenye uwezo wake hata akiwapanga 20.
Na kama mwanamke wako hatumii basi hutapata akili ya kutafuta hela. Yani ukimuachia elfu 50 unaikuta kama ilivyo... kama ni outings yeye ni wa kuopt vitu vya substandard ili kukufurahisha...kifupi huyo atakulemazaaaa
Mnaweza kuona haya ni mawazo mgando ila ndo ukweli
 
Wachache Sana watakuelewa[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…