Kabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya mkeo, utajaa wivu fitna kwa pesa ya mkeo ambao sio yako.(chako ni chetu chakwangu ni changu tu) hiyo ndo formula ya wanawake.
Kiasilia sie wanaume kazi yetu ni ku-pambana na kuhudumia familia zetu bila kuangalia kipato cha mkeo, akiamua kuchangia bora ni vizuri ila naturally wanawake ni selfish raha wataka wapate wao tu sio wengine, kwahiyo bora kujiandae mapema hiyo hali ikifika ķwako usivunje ndoa yako au kulalamika au kua mwizi ndani ya familia, msaada wa mwana mke kwenye ndoa ni just bonus sio lazima wanaume tutafuteni pesa tuache Umario kutegemea vya bure.