Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mkuu naelewa vizuri ila kwa jinsi maisha yalivyo sasa anything can happen. Una mke unaweza afford kumpeleka capetown fish market kila weekend, salon kali, gari ya kutembelea. We ni mchezaji wa kulipwa.Mkuu unafikiri msaada wa pesa sio kwa mwanamke, labda misaada mingine kama kazi za ndani kukutibu kukufulia hapo poa ila pesa zake mtapishana bure bora kujipanga kimind set mapema..........na pia women kisaikolojia nitofauti sanaa na wanaumme hatuwezi kufanana wanahitaji special handling ili uelewe vzr ntakipa mifano mingi
Siku moja umekosa kuwa re-signed inakubidi ukae mtaani uanze kutafta mkataba kwenye club nyengine. Yule mke mmekodi nyumba masaki, ashazoe raha once and for all.
How do you deal na hio situation, will you call it quits? Huna namna ya kuendelea ku afford gharama. How would you go about it? Hela ndio imekata unaskilizia msimu ujao huku ulichosave kinateketea tu.
Kitakachofata utajiingiza kwenye madeni tu na mwisho utaanza kulia lia kama mzee Yusuph.😂😂😂! Maisha yanend yakibadilika choose wisely. Kuna kuumwa, kuna kukosa kazi, kuna mambo mengi nje ya uwezo.
Mke yuko kwenye nafasi ya kusolve ila hafanyi hivyo. Would you be happy?