Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Kwa ambao hamjaoa nawashauri tu USITHUBUTU KUJIFUNGA GEREZA LA NDOA. fanya maisha Yako mwenyewe kama ni stress zitakuwa zako na utazitatua mwenyewe.

Asante kaka.
Mimi kama Mwenyekiti wao NIMEKUELEWA SANAAA.

#YNWA
 
Mkuu unalo sena ni kweli 100% ila haitekelezeki, watu walisha asi dini zamani hayo yote ilibaki kama mapambo ya ndoa, wanawake wengi huona waume zao kama competitor wa maisha, wanapendwa kwa kuwahudumia ila sio kwa ajili ya Mungu.
Ya Ni kweli , ndo maana wengi wanaangaika kwanza huyo mwanaume Ana Nini.
Ushahidi mzuri Kama unamarafiki wa kike ambao Ni Kati ya umri wa 22 mpaka 30 na hawajaolewa , ukiangalia Whatsapp status zao utaona wanawaza mume mwenye pesa tuu.
 
Kama huna stable income na mikakati dhabiti ya badaye ningeshauri vijana wengi kutokimbilia ndoa, mabint wengi 22yrs hadi 30 hawana upendo na mwanaume masikini hata kama ameshika dini kiasi gani hawana huruma nae kabisa
 
huu uzi umenikunbusha kitu,,,
majuzi nilijinunulia mashati mazuri tu, mchumba wangu akaniona nimevaa akanisifia sana nimependeza niwe navaa mashati tu,,nikamtega kumwambia uwe unaninunulia kwa hela yako alivyojibu hawezi kununua kwa hela ya nimpe mimi hela akaninunulie,, nikajiuliza sana kuna ubaya gani kwa mpenzi wako kukununulia zawadi ndogo ya shati tu,,ukiangalia analipwa vizuri tu
 
Ukigusa pesa yake mwanamke hapo mmeme achana pamema tu, wao mehesabu yao yako hivi ana kununulia boxer ya 20k na vest ya 15k, kama zawadi ya upendo ila yeye anataka zawadi ya gawoni fulani amazing ya 150k smart phone 600k perfume ya 50k hapo mtaendana vizuri akiita majina yote ya mahaba, ila ukiendekeza hao wachumba hivo siku utakapo furia ndo utajua kwamba nyuki hakubatuwi.....
 
Kama huna stable income na mikakati dhabiti ya badaye ningeshauri vijana wengi kutokimbilia ndoa, mabint wengi 22yrs hadi 30 hawana upendo na mwanaume masikini hata kama ameshika dini kiasi gani hawana huruma nae kabisa
Yah hata mtu ukisema sikuhizi uende kanisani Basi ukatafuta binti, bado asilimia kubwa wanaangalia kipato Sana karibu wote wapo hivyo.
Mabinti wengi wanapenda kuolewa kwa sababu wanaitaji social support kutoka kwa wanaume watakao waoa.
 
Ma-binti wakanisani wana dosari mbili wengi wataka maisha ya kufikilika, wengine singo maza walio umizwa na wengine wame athirika na magojwa kanisani kwao ni sehemu ya kujiliwadha nakujifaliji, sio kua na imani ya Mungu
 
Tena wengi walikuwa na mahusiano na watu wa nje ya kanisa wamewachezea wee mwishoni wamekuja church, hio kitu nimekishuhudia Sana Tana Sana.
 
Daaa umenigusa sana, hili ni tatizo kubwa kwa wake zetu wa kibongo. Wanadai haki sawa ila mmmhh
 
Ukiwajulia mapema huwezi kuumizwa na hao watu, jipange kabla ya kumuingiza kwenye ndoa, hao watu ni selfish sanaa hujipendelea tu

Ukiwajulia mapema huwezi kuumizwa na hao watu, jipange kabla ya kumuingiza kwenye ndoa, hao watu ni selfish sanaa hujipendelea tu.
Niliamua niwe katili sana kwa mke wangu, japo sometimes moyo unaniuma ninayofanya but I think it is a good psychological treatment
 
Niliamua niwe katili sana kwa mke wangu, japo sometimes moyo unaniuma ninayofanya but I think it is a good psychological treatment
Hiyo ndo tiba yako ya mda mrefu, ukiwa na mke ukamtreat kama ndgu au rafiki ukapitiliza siku atakapo towa her true kalazi, unapata pressure na stress mpaka unakufa, mkae nao kwa akili sanaa usitegemee mengi kutoka kwake, jitegemee mambo mengine
 
Acha mafundisho ya upotoshaji na kuharibu akili za Watu katika taasisi ya Ndoa.
Sasa unaoa ili iweje kama usitegemee lolote kwa mkeo?
Maana mmekua mwili mmoja. Sasa unajua maana ya mwili mmoja?
Ndoa ni muunganiko wa Watu wawili wenye dhamiri moja ya kumpendeza Mungu. Sasa iwapo nisitegemee chochote kwa mke wangu nitawezaje na tutawezaje kumpendeza Mungu?
Muhimu na zaidi ni Upendo, kusaidiana, na kutambua wajibu wenu nyote na kukamilika Sawa Sawa na kusudi la Mungu.
Kinachotusumbua Sasa ni Ubinafsi, uzinzi, uasherati, dhambi, na kila aina ya uchafu ndio matokeo ya bandiko lako as an alternative ya hayo pasi na kujua ni kujipalia kaa la moto zaidi.
Moja kati comment bora kabisa!
 
Back
Top Bottom