Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Hakuna mwanaume anakubali kutegemea pesa ya mwanamke bali wewe umemphrase kuwa yeye hata pakitokea lakutokea basi aondoke au afiche pesa yake maana sijukumu lake kumsaidia mwenzako. Unaujua mshahara wa mkurugenzi boss, mtu akatolewa kazini, utadhani labda maisha atayamuda maana pesa yake iliyoingia ilikuwa ni patefu simchezo.Mkuu ni mind set yako, kwanini utegemee pesa ya mkeo, mwana umme upanga bajeti ya kuendesha familia kwa kutegemea mkeo!!!! Hayo ni majenga kweli kweli ndo maana wengi wanamalizia na broken families
Yaliyotokea after several months, usitake kujua na mwanamke alimkimbia. Life changes, [emoji23][emoji23][emoji23] huwezi amini. Nawatumishi wengi huwanamindset hii maana kazi ni permanent na pensionable, [emoji23][emoji23][emoji23] nothing is permanent or constant only death.