Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Binafsi mimi msimamo wangu. Kama mwanamke anatoka nyumbani kila siku kwenda kazini ni sharti ajue majukumu yake kwenye familia. Kama hatoki (kama mke wangu) hapo ni sawa mimi na handle kila kitu.
Kwani unataka kumuongezea majukumu ya kulisha familia kisa kazi yake, huo ni ubabe mtashindana tu
 
Wala sio ubabe...mbona yeye hamlipi hausigelo kwa majukumu ambayo anasaidiwa akiwa kazinj
Kwani unataka kumuongezea majukumu ya kulisha familia kisa kazi yake, huo ni ubabe mtashindana tu
 
Mkuu unafikiri msaada wa pesa sio kwa mwanamke, labda misaada mingine kama kazi za ndani kukutibu kukufulia hapo poa ila pesa zake mtapishana bure bora kujipanga kimind set mapema..........na pia women kisaikolojia nitofauti sanaa na wanaumme hatuwezi kufanana wanahitaji special handling ili uelewe vzr ntakipa mifano mingi
Mkuu, mwanamke aliumbwa kumsaidia mwanaume. Mke ni msaidizi wa mume KATIKA MAMBO YOTE. Ukiona kusudi hilo (ambalo ni la ki Mungu) halitimii ujue kuna tatizo sehemu upande wa huyo mwanamume. Mwanaume ni kichwa cha mwanamke. Mwanaume akishindwa ku maintain hii position tatizo ndio huanzia hapo.

JESUS IS LORD
 
Inatakiwa ujipange vya kutosha kwa hayo unexpected natural disasters
Shwari sista, ndio maana ikaitwa natural disaster huwezi kujipangia siku gani itatokea. Pia ishi maisha ya mtanzania wa kawaida ambaye mshahara wake wengi ni 300,000/= - 700,000/=. Huyo mwamaume kwa mshahara huu anaendesha familia kwakuendesha familia na kusomesha watoto shule kubwa huku ndugu wakila upande wakimtegemea. Sasa nakuruhusu panga wewe utakavyojipanga. Mind you hapo anamadeni kibao maana hiyo pesa haitoshi kuendesha familia ifike mbali. Acha kufikiri kuwa watanzania wote ni waajiriwa au wafanyabiashara hao ni asilimia ndogo tu. Acha kumuweka binadamu mwenzio katika psychological stress, inaaffect body physiology nakumfanya apate magonjwa ya moyo mapema sana, this is a proven study. Lower your expectations, jua utakuja kuwa na mtoto wa kiume, kwaujumla hapa ukiwa na mawazo haya siku yakimpata mwanao utachukia kizazi chote cha wanawake wa sasa. Mwanaume anajukumu lakuprovide lakini never force anybody into anything jua hata kifanya vizuri mfano mzuri ni nyie wanawake na majukumu yenu nyumbani, mkiambiwa kazi yenu ni kupika au kufua mnachukia ila ukiwa not forced basi utafanya. Wewe hutaki kutegemewa kama bima basi usimtegemee mwenzako kama bima. Mliutafuta usawa lakini hamuutaki kuutekeleza, unavuna ulichopanda, you want to be treated like a gold digger basi mwanaume hata acha irresponsible behaviors zake maana kama wewe ni nature yako basi kubali nayeye ni nature yake. You're not special, your not God basi ishi maisha yasiyo nakejeli usije kukejeliwa wewe mbeleni.
 
Waziiii kamanda, 👏👏👏 maisha yetu kibongo bongo yanaeleweka. Most bread winners wana mishahara japo haikidhi na mshahara hauna guarantee, inaweza tokea simu moja ukawa haupo kabisa.
 
Kumbe bado kuna wanaume original asee[emoji848][emoji848]
Unasifia kitu usichojua. Pia vijana wengi hawana pesa zinazokuwa na constant flow maana hawajaajiriwa. Si mwanaume wala si mwanamke. Kwakusifia hivyo wanawake wote watazalishwa na wanaume wachache walio na hii flow, basi na wanawake wasilie kuhusu kuharibiwa ndoa zao maana mlilibariki wenyewe hivyo wasichana hufuata mkumbo kuzaa na haohao. Pia ongezeko la single moms msilalamike tena kulaumu mwanaume maana mmelikubali kwa moyo mmoja. Usijemlaume kijana wako akichelewa kukupa mjukuu au kuoa, nahili msipinge mnasumbua sana tena sana jua anatafuta ambavyo kupata ni 1% probability. Ishi maisha ya mtanzania halisi, usiishi maisha ya watanzania waliobahatika kufika level za juu maana hata wewe ulishindwa kufika huko.
 
Haaahaaahaaa[emoji16][emoji16][emoji16]

Kaongea ukweli ambao hamtaki tuujue, unfortunately tunaujua vizuri tu[emoji16][emoji38]
Siukweli bali ni tabia iliyoendekezwa na wazazi kuwafundisha hili watoto wakike. Mwanaume ni jukumu lake kutunza familia lakini si mwanamke kuwa mchoyo. Kama uchoyo ndoyo ukweli basi tuidhinishe kimbengele cha watu kuwa na mahusiano ya kimichongo kama friends with benefits, sogea tuishia etc. na si mwanamke au mwanaume kuinua mdomo. Maana hamna mtu asiyezipenda pesa zake na kila mtu anaweza kuwa mchoyo, usilalamike tu.
 
Unasifia kitu usichojua. Pia vijana wengi hawana pesa zinazokuwa na constant flow maana hawajaajiriwa. Si mwanaume wala si mwanamke. Kwakusifia hivyo wanawake wote watazalishwa na wanaume wachache walio na hii flow, basi na wanawake wasilie kuhusu kuharibiwa ndoa zao maana mlilibariki wenyewe hivyo wasichana hufuata mkumbo kuzaa na haohao. Pia ongezeko la single moms msilalamike tena kulaumu mwanaume maana mmelikubali kwa moyo mmoja. Usijemlaume kijana wako akichelewa kukupa mjukuu au kuoa, nahili msipinge mnasumbua sana tena sana jua anatafuta ambavyo kupata ni 1% probability. Ishi maisha ya mtanzania halisi, usiishi maisha ya watanzania waliobahatika kufika level za juu maana hata wewe ulishindwa kufika huko.
Kwa lugha nyepesi tu ni kuwa wanawake wengi wanataka wanaume wenye uchumi mzuri ila kiuhalisia wanaume wengi sikuhizi ni wapambanaji.

Ratio inaweza kuwa 90:10. Yani wanawake asilimia 90 wanawania hili kundi la wanaume asilimia 10 ambao ndio wako imara. Matokeo yake ndo wengine wanaishia kutumika kuwa michepuko while wachache ndio hubahatika kuolewa. Single mazas hawawezi kuisha ni wengi.
 
Shwari sista, ndio maana ikaitwa natural disaster huwezi kujipangia siku gani itatokea. Pia ishi maisha ya mtanzania wa kawaida ambaye mshahara wake wengi ni 300,000/= - 700,000/=. Huyo mwamaume kwa mshahara huu anaendesha familia kwakuendesha familia na kusomesha watoto shule kubwa huku ndugu wakila upande wakimtegemea. Sasa nakuruhusu panga wewe utakavyojipanga. Mind you hapo anamadeni kibao maana hiyo pesa haitoshi kuendesha familia ifike mbali. Acha kufikiri kuwa watanzania wote ni waajiriwa au wafanyabiashara hao ni asilimia ndogo tu. Acha kumuweka binadamu mwenzio katika psychological stress, inaaffect body physiology nakumfanya apate magonjwa ya moyo mapema sana, this is a proven study. Lower your expectations, jua utakuja kuwa na mtoto wa kiume, kwaujumla hapa ukiwa na mawazo haya siku yakimpata mwanao utachukia kizazi chote cha wanawake wa sasa. Mwanaume anajukumu lakuprovide lakini never force anybody into anything jua hata kifanya vizuri mfano mzuri ni nyie wanawake na majukumu yenu nyumbani, mkiambiwa kazi yenu ni kupika au kufua mnachukia ila ukiwa not forced basi utafanya. Wewe hutaki kutegemewa kama bima basi usimtegemee mwenzako kama bima. Mliutafuta usawa lakini hamuutaki kuutekeleza, unavuna ulichopanda, you want to be treated like a gold digger basi mwanaume hata acha irresponsible behaviors zake maana kama wewe ni nature yako basi kubali nayeye ni nature yake. You're not special, your not God basi ishi maisha yasiyo nakejeli usije kukejeliwa wewe mbeleni.
Ukweli ni kwamba we need time space kupata right partner, ni 100% hiari kwa mwanamke kuendesha familia incase of disaster, ila tatizo kupata mke mwenye kindhearted sio rahisi.... mimi binafsi siwezi kuchukia mke wangu akihamisha wanangu kutoka shule za English medium kuenda za St kayumba kwasabb ni me ugua kwa nda mrefu wakati uwezo anao, sichukie kwasbb ni jambo zuri hapana ni kwasbb nimesha jianda kisaikolojia kwamba ndo jinsi walivyo..........jamani jiadeni hivyo women are dynamic
 
Kesho akikosa maisha mkewe akiambiwa anunue chakula ndani akatae wakati bank ana akiba ya Milion 5 aanze kupiga kelele mwanamke ni mbinafsi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapana hivyo ndivyo ulivyomkuza wewe si ulidhani kila siku Utakuwa nacho haya pambana..
Msibishane nae sana mwamba huenda labda ni mmiliki wa China Plaza kariakoo. Watu wa aina hii kufulia ni ngumu. Ila kama ni mtu anaishi kwa Payroll ya private muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Kuna haja ya maandalizi ya vijana kupata soma la ndoa kabla hawajaingia kwenye ndoa, ndoa ni zaidi ya kuka tu na mke ndani lazima uwe tayari kubadilika kifkira na mitizamo yako, otherwise ndoa nyingi zitaendelea kufa, vijana wengi bado wana fikira za kusaidiwa na wake zao kwenye masuala ya kifedhe kuendesha familia loh
Kamanda hamna mtu anayeoa ili asaidiwe na mkewe ila kuna kitu kinaitwa "Contigency Plan".

Ukiendesha maisha yako bila contigency plan utakuwa na downfall nyingi sana katika safari yako ya maisha sababu saikolojia yako itakuwa inaathiriwa na kila changamoto kubwa inayoweza kukufika.

Watu wanajenga maghorofa ya billions of money na ku install system za maji incase moto ukitokea yaweze ku slow down uharibifu. Sio kwamba wanashindwa kununua magari ya fire ama hawana bima ya majengo.
 
Hiyo inasababisha ongezeko la watoto wa mitaani, mtu anaingia ndoa wakati uwezo hana wa kuhudumia mke, amna mwana mke asie penda raha na maisha mazuri ni uvumilivu tu nakukosa pa kuenda, au mtongozaji serious
[emoji23][emoji23][emoji23] correction hamna mtu asiyependa raha, si mtu mme au mtu mke. Kwakujua hilo nijikumu lako kwakuchunguza yupi anayeweza kuzicontrol tamaa zake na kuishi kwakiasi. Hakuna aliyeumbwa kuja kuteseka kwaajili ya mwenzake, labda kama kufa tutakufa wote. Lasivyo uliletwa duniani pekeyako basi utarudi pekeyako. Usimshurutishe mwanaume aumie ili mwanamke apate starehe, mwanaume anaumia kwaajili ya familia yake tena maendeleo ya familia yake. Kama starehe hukuzimaliza, basi mwanamke au mwanaume wote wasiingie ndoani. Nikiwaangalia wazazi wangu najua walichopitia, starehe yao ilikuwa mafanikio ya watoto wao tu na sivingine. Utu uzima dawa.
 
Kwa lugha nyepesi tu ni kuwa wanawake wengi wanataka wanaume wenye uchumi mzuri ila kiuhalisia wanaume wengi sikuhizi ni wapambanaji.

Ratio inaweza kuwa 90:10. Yani wanawake asilimia 90 wanawania hili kundi la wanaume asilimia 10 ambao ndio wako imara. Matokeo yake ndo wengine wanaishia kutumika kuwa michepuko while wachache ndio hubahatika kuolewa. Single mazas hawawezi kuisha ni wengi.
Sasa hapo ndo kwenye ukubwa wa tatizo, huyu mwanamke kaja kwako kunusurika na kupata unafuu wa maisha, tena kakipato kake unategemea kweli ata kuhudumia familia yako ukiwa hai bado ubinafsi wa wanake unatokana na family background yao, frustration huanzia hapo kwa upande wawana Umme
 
Sasa hapo ndo kwenye ukumbwa wa tatizo, huyu mwanamke kaja kwako kunusurika kupata unafuu wa maisha, tena kakipato kake unategemea kweli ahudumie familia, frustration huanzia hapo kwa upande wawana Umme
Mwanamke aliyefuata unafuu utamjua tu kwahio
ni option yako kumkubalia au kumkataa.
 
Back
Top Bottom