Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Kijana usiingie kwenye ndoa kwa tumaini la kusaidiana na mkeo kifedha

Mkuu ni mind set yako, kwanini utegemee pesa ya mkeo, mwana umme upanga bajeti ya kuendesha familia kwa kutegemea mkeo!!!! Hayo ni majenga kweli kweli ndo maana wengi wanamalizia na broken families
Hakuna mwanaume anakubali kutegemea pesa ya mwanamke bali wewe umemphrase kuwa yeye hata pakitokea lakutokea basi aondoke au afiche pesa yake maana sijukumu lake kumsaidia mwenzako. Unaujua mshahara wa mkurugenzi boss, mtu akatolewa kazini, utadhani labda maisha atayamuda maana pesa yake iliyoingia ilikuwa ni patefu simchezo.

Yaliyotokea after several months, usitake kujua na mwanamke alimkimbia. Life changes, [emoji23][emoji23][emoji23] huwezi amini. Nawatumishi wengi huwanamindset hii maana kazi ni permanent na pensionable, [emoji23][emoji23][emoji23] nothing is permanent or constant only death.
 
Mwanamke aliyefuata unafuu utamjua tu kwahio
ni option yako kumkubalia au kumkataa.
Mkuu naomba ulitambue kwamba women/wife changes behaviour/habits constantly as time elapses, kwahiyo usijipe grantee kwamba umempata mwenye uwezo atahudumia familia yako.
 
Mkuu naomba ulitambue kwamba women/wife changes behaviour/habits constantly as time elapses, kwahiyo usijipe grantee kwamba umempata mwenye uwezo atahudumia familia yako.
Mzee elewa concept ya contigency, mimi ni hustler bob!

Kuna brighter days and dark days so sitegemei on my dark days mwanamke ambaye ni mke wangu anitenge na kushindwa kunipa backup!

Hata siku napoamua kuoa nitahitaji kuwa na mke flexible!
 
Hakuna mwanaume anakubali kutegemea pesa ya mwanamke bali wewe umemphrase kuwa yeye hata pakitokea lakutokea basi aondoke au afiche pesa yake maana sijukumu lake kumsaidia mwenzako. Unaujua mshahara wa mkurugenzi boss, mtu akatolewa kazini, utadhani labda maisha atayamuda maana pesa yake iliyoingia ilikuwa ni patefu simchezo. Yaliyotokea after several months, usitake kujua na mwanamke alimkimbia. Life changes, [emoji23][emoji23][emoji23] huwezi amini. Nawatumishi wengi huwanamindset hii maana kazi ni permanent na pensionable, [emoji23][emoji23][emoji23] nothing is permanent or constant only death.
Mkuu ni kweli ila sie wanaumme tunapo ni kua over expected over our wives, mtu anafikia atue kufanya mkeo kua bima ya ajira au ya afya eti ni case of disaster, hapo ndo tunakosea ni wanawake wachache watakao respond kwa majanga hayo kulingana na expectation zako, e g wewe umekua mkrungenzi kwa miaka mitano na unapomea 3@ monthly mkeo 1.5m, kwahiyo ukitumbuliwa kweli unategemea mkeo asimamishe mambo yake ypte anze kubeba jukumu lako, ni wachache watakao nyoa nywele zao kwaanjili ya kuhudumia familia, huo ndo mwanzo wa stress na kifo cha mapema.
 
Mzee elewa concept ya contigency, mimi ni hustler bob!

Kuna brighter days and dark days so sitegemei on my dark days mwanamke ambaye ni mke wangu anitenge na kushindwa kunipa backup!

Hata siku napoamua kuoa nitahitaji kuwa na mke flexible!
Backup za haraka haraka hizo hazina shida kwa mwanamke ata ku-support ni mda mfupi 1wk 1month 1year beyond that ni mtihani kwa mwanamke, ni vizuri contingency plan yako iwe broad and holistic
 
Kabla hujaingia kwenye ndoa rasmi jiakikishe una uwezo wa kifedha kuhudumia familia yako na wazazi wako pamoja na wamke wako kwa kiasi, otherwise ukienda na matumaini ya kuchangiana na mwanamke wako utakua disappointed bure na kua frustrated unabadilika kua mdokozi tapali jizi kwenye mali ya mkeo, utajaa wivu fitna kwa pesa ya mkeo ambao sio yako.(chako ni chetu chakwangu ni changu tu) hiyo ndo formula ya wanawake.

Kiasilia sie wanaume kazi yetu ni ku-pambana na kuhudumia familia zetu bila kuangalia kipato cha mkeo, akiamua kuchangia bora ni vizuri ila naturally wanawake ni selfish raha wataka wapate wao tu sio wengine, kwahiyo bora kujiandae mapema hiyo hali ikifika ķwako usivunje ndoa yako au kulalamika au kua mwizi ndani ya familia, msaada wa mwana mke kwenye ndoa ni just bonus sio lazima wanaume tutafuteni pesa tuache Umario kutegemea vya bure.
Hii ni formula ya wanawake wa Tanzania tuu ukivuka border hapo Namanga, Sirari,Horohoro aisee pesa ya mwanamke inawekwa mezani mnagawana hadi watoto wa kusomesha aisee...sema haya mambo miaka 10 ijayo yanakuja TZ tukae mkao wa kula...ni Tanzania tu mwanaume anaweza kutunza familia na mke ni mama wa nyumbani ila ukitoka tu hapo nje kama huna shughulo ya kufanya hakuna mtu anaekusogelea...
 
Swali la msingi kwa mwanamke unaetaka kumuoa "what does she bring to the table"? Most women think of bringing themselves to the table...ooh i can cook, i can do blah blah....
 
Swali la msingi kwa mwanamke unaetaka kumuoa "what does she bring to the table"? Most women think of bringing themselves to the table...ooh i can cook, i can do blah blah....
Na maisha yanavyoelekea wanaume hawatakubali kuachiwa mzigo wenyewe ili hali na wenyewe wana kipato.
 
Swali la msingi kwa mwanamke unaetaka kumuoa "what does she bring to the table"? Most women think of bringing themselves to the table...ooh i can cook, i can do blah blah....
Hahaha mwanamke wa ki-bongo analeta chura, ragi hips na mbunye nk sio ideas au mipango ya kujenga familia kwahayo tunapishana nao
 
Acha mafundisho ya upotoshaji na kuharibu akili za Watu katika taasisi ya Ndoa.
Sasa unaoa ili iweje kama usitegemee lolote kwa mkeo?
Maana mmekua mwili mmoja. Sasa unajua maana ya mwili mmoja?
Ndoa ni muunganiko wa Watu wawili wenye dhamiri moja ya kumpendeza Mungu. Sasa iwapo nisitegemee chochote kwa mke wangu nitawezaje na tutawezaje kumpendeza Mungu?
Muhimu na zaidi ni Upendo, kusaidiana, na kutambua wajibu wenu nyote na kukamilika Sawa Sawa na kusudi la Mungu.
Kinachotusumbua Sasa ni Ubinafsi, uzinzi, uasherati, dhambi, na kila aina ya uchafu ndio matokeo ya bandiko lako as an alternative ya hayo pasi na kujua ni kujipalia kaa la moto zaidi.
 
Kinacho tufanya wa Africa kupokea dini tuwe kama mataira ni kudhani kwamba myths and rhotoics zinaweza kua practicle life ndoa na dini ni vitu viwili tofauti
 
Kinacho tufanya wa Africa kupokea dini tuwe kama mataira ni kudhani kwamba myths and rhotoics zinaweza kua practicle life ndoa na dini ni vitu viwili tofauti
Watu wamegundua dini sometimes ni michosho tu,Wanafunga ndoa Leo wanaaachana kesho kikubwa kuwepo amani ya moyo
 
Hata sikumbumbuki ila ndo ulikataa ulisema mpaka uone kaburi la ex baba watoto
Huyo sio mm na Wala siwezi fanya hivyo Maana ata ambaye hajazalishwa nae ana ma-ex wake kwaiyo kupasha viporo haikwepeki kwa watu wasio jitambua
 
Back
Top Bottom