Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kichwa cha habari kinahusika.
Ni nature ya Dunia wanawake ni watu wabinafsi, hasa hawa wadada.
Hawana cha kukupa zaidi ya UTI
Hawana shukrani
Wakikutana na msaada mwingine anaanza kuusahau msaada wako anaanza kumwazia yule wa pili, tatu n.k
Saidia wazazi wako au ndugu zako wa damu, huo ndio uwekezaji usiotia mashaka.
Utafiti unaonyesha kuwa karibu ndoa zote katika dunia ya 3 mwanamke anamdai pesa mume wake. Unashangaa baba ndiye mfanyakazi sasa hizi pesa mke anazomdai mume wake zimetoka wapi?
Ni kwamba mume humpa mke pesa bure hata laki 5, milioni n.k ila mke akimpa mume elfu 20 hiyo atamkopesha.
Kama si mke wako, dada yako, shangazi au mama yako usimpe pesa. Hata kama anataka kutoka roho usimpe.