GE2025 Kijana usikubali huu UPUUZI chapati isikutoe kwenye reli huyu ametumwa

GE2025 Kijana usikubali huu UPUUZI chapati isikutoe kwenye reli huyu ametumwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Moja ya silaha waliyonayo nikuwatumia watu maarufu kama hili boya Mwijaku ambaye anapata kidogo chake kutoka kwa watawala eweee kijana usikubali kurubuniwa kwa chapati, msitoke kwenye reli wapo wengi wametumwa kuna yule na wimbo wake wa nani potezeeni.
 
Tamaa na Ubinafsi unaenda kuwamaliza Watanzania.

Malipo bila kazi halali na pesa za ghafla ndio vijana na Wazee wajinga wanazioenda

Amini Raha usizojua gharama zake huja na uharibifu mkubwa .
#Apathy
 
Back
Top Bottom