Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Haw nao binadamu tu.. naona watu wanahangaika kusisitiza kuwatenga. Kwan kitumbua si chake? Sisi tuishi nao kama bjnadam wenzet walioamua kuishi tofauti na sisi. Life is still exist in its simplicity nature
Kiongoz hawa watu ni vichaa.
Na Wewe unaemfira Mwajuma una Akili gani au kwa sababu Mwajuma ni Mwanamke na ukishamuingilia kwa nguvu unakua umefanya nini km sio sawa umemuingilia Mwanaume tu?
 
Hili jina sijui lina shida gani? Kuna dogo ana jina km hilo, alikuwa kijana mzuri nikawa namtania mchumba, siku naenda home napata habari zake kawa shoga nililia mpk sasa siamini. Hata kumuona sitaki naogopa nitalia na itaweza kumfanya azidi kujisikia vibaya.
Hivi vitu vinaumiza kwa watu wetu wa karibu
 
Pamoja na yoteee nachokushauri "PIGA VITA
1. MAPENZI YA JINSI MOJA
2. MAPENZI YA KINYUME NA MAUMBILE
Piga vita sanaaa tena sanaaaa.

HAYAFAIA, YANATUHARIBIA TAIFA.

#YNWA
 
Ni nini kinapelekea watoto wa kiume tokea utotoni kuanza tabia za kike na mwishowe kuwa mashoga
 
Why apende kukaa na nyie while hampo like him ir why awe mnyonge mkiongelea such issues, do you know his story !. Do you think ni rahisi kwake!. I'm gay na sifanyi sex for money but reading this thread at this time of the night imeniumiza a lot
Ushapoteza ubingwa masikini
 
Una uhakika gani km alikua anakuzingua Ushawahi kumshuhudia?
 
Na Wewe unaemfira Mwajuma una Akili gani au kwa sababu Mwajuma ni Mwanamke na ukishamuingilia kwa nguvu unakua umefanya nini km sio sawa umemuingilia Mwanaume tu?
Pisi ni pisi
 
Ndio turudi kwenye malezi sasa ya familia.lakini na hawa waathirika badala ya kutulezea namna walivyoingia au kushiriki wangekua mabalozi wa kukataza hiyo michezo kuliko hivi sasa mtu anakuambia ni mwili wake aachwe afanye anavojisikia.
 
Nafikiri mnakua mnafanya maamuzi sio sahihi
Pale mnapo amua kufanya regardless of its sideeffects.
Alafu nishawahi shuhudia baadhi yenu wamepona na kusema huwa wanatumika kwa manufaa flani, is that it?
Every person ana story yake
Some did it for money, some were molested, some learnt it in same sex schools, some explored it as a sexual fantasy after testing female behinds and some of us only felt it naturally. No influence or whatsoever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…