Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

That's what I have been saying
When you judge a person utamtenga and ukishamtenga he will find another way of getting love and care.
Sadly hizo situations zimepoteza most gay kids mitaani and as much as I'm trying to say the truth, people are busy crucifying me instead of taking a lesson
Allah bado anakupenda, na bado una nafasi ya kubadil mtizamo na mwelekeo.
LIsilo sahihi litabaki si sahihi tu haijalishi mtu kalizoea namna gani!?.
U still have time to change
 
Iwe kwa sababu yoyote Ile,Siwezi kumhukumu mtu anayefanya mapenzi ya jinsia Moja.
Mwili ni wake,hiyo tuzi anayotoa ni yake,madhara na faida anayepata ni yeye,kama Mungu yupo siku ya hukumu atakayehukumiwa ni yeye,anayetengwa na kujitenga na jamii ni yeye!!
Mimi ni nani kumhukumu Binadamu mwenzangu?
Sishiriki aina hiyo ya ngono lakini Sina usafi wa kuwaona wengine ni wakosefu kuliko Mimi.
 
Yaan siku hizi kila baada ya muda lazima ije story ya Gays, sio mtandaoni hata huku mtaani, Gayism imekua ndo trending issues.

Kwani nani hajui faida na hasara zake? Kinachokera mtu mzima akiyeamua kutumia mwili wake kwa namna inayo mfaa yeye binafsi, afu wanakuja watu wengine kuanza kumzonga na kumnangaa.

Kila mtu atalinda mwili wake, afu huwa mnakataza kwa kiume tyuuh, vipi hawa kike? Siku hizi wanagawa kinyeo km hawana akili nzuri na ishakua fashion, ndo hao walaji wakikosa kwa ke, wanahamia kwa me, wengine wanavuka mipaka na kulawitii watoto wadogoo wasio na hatia, mxxxxxxiiiiiiieeeeeew.

Acheni UNAFIKIII.
Waislamu wanasema kula kinyeo cha mwanamke ni sunna ya mtume,hawa ndio gays industry
 
Iwe kwa sababu yoyote Ile,Siwezi kumhukumu mtu anayefanya mapenzi ya jinsia Moja.
Mwili ni wake,hiyo tuzi anayotoa ni yake,madhara na faida anayepata ni yeye,kama Mungu yupo siku ya hukumu atakayehukumiwa ni yeye,anayetengwa na kujitenga na jamii ni yeye!!
Mimi ni nani kumhukumu Binadamu mwenzangu?
Sishiriki aina hiyo ya ngono lakini Sina usafi wa kuwaona wengine ni wakosefu kuliko Mimi.
Hata kama unashiriki huwezi kusema hapa Kwa aibu. Mwili Ni wapo, madhara Ni yako
 
Asa kama mpk Papa anaogopa kuwasema na baadhi ya kanisa zinafungisha ndoa ya jinsia moja bus hakuna tunachoweza Fanya zaid ya kukomaa na familia yako asitokee mtu uyo na kuomba mungu xnaa
Kila mmoja wetu akikomaa na familia yake mwisho jamii yote itakosa hao watu .mwanzo wa taifa ni familia. Hata papa atakosa wa kumuunga mkono
 
Kwa mwajuma unaeza jitetea kua umekosea maana hio hutokea Mara nyingi tuh
Ila kwa jumaa utakosea vipi na juma analo tundu moja tuh
Wewe ndio huna Akili kwa HIO unatibithia kabisa kwamba na Wewe unamla nyuma Mwajuma kule kule nyuma unapokataza pasiingiliwe?
 
Una uhakika gani km alikua anakuzingua
Ushawahi kumshuhudia?
Screenshot_20240630_131118_Messages.jpg


Mwanaume anakutania anataka kuja kupikaaa au sio??? Yani anataka kuja kunipikia dinner sio? Ananizingua sio


Screenshot_20240630_130853_Messages.jpg


Nikamwambia nimechoka akataka kuja nifanyia Massage, anazingua bado au sio??

Ngojea nkutaftie nilipoanza kumuita MKE WANGU na ana respond fresh kabisa...
 
I'm not in a good shape kuongelea hilo deeply today cause huniumiza sana but as far as I can remember
I was just a feminine young boy and people wangecomment about my face, navyoongea or navyotembea and some wakaniita shoga na kunitenga while at that time I didn't even know anything about sexuality. I was born with that look and sikujichagulia but I thank God at that time niliyapitia yote mazito without kujiunga na destructive gay squads za mjini or having gay sex prematurely. I focused on me that even my first gay relationship niliipata online willingly unlike many other gays waliopata gay experiences at a young age
Watu walipokuwa wanakuita shoga kabla hujaanza huo ushoga je ilikuwa inakuumiza ama u were ok with it? ... nini kilipelekea kuingia kwenye ushoga willingly baadae then?

Na ikiwa kuongelea historia yako ya kuwa shoga inaku-disturb somehow does it mean unajutia maamuzi yako hivi sasa ila inabakia tu huna la kufanya?

Lastly, umekiri kuwa watu wengi huingia kwenye ushoga sio kwa kupenda ila ni kwa ku-experience hiyo hali wakiwa katika umri mdogo (nadhani unamaanisha wamekuwa taken advantage of na waliowangiza kutokana na udogo wao na innocence yao), je wewe ukiwa kama gay unakemea hizi campaign za LGBT zinazowalenga watoto wadogo especially kule ulaya na USA?
 
Hapo ndipo wanaume wanaponishangaza, kwa KE ni sawa kuwafanyia hivyo ila ME wanapiga vita.!!

“Ni sawa na kusema nyama ya nguruwe hali ila mchuzi wake anakunywa” bora km umeona unafiki wa wanaume wenzio
Hawa watu ni Washenzi wanawaharibu sana Wanawake kwa kuwaingilia nyuma Ila zikija hizi mada wanajifanya wasafi wakati ni wachafu kabisa wanawafanya Wanawake kinyume na maumbile kwa asilimia nyingi means wanapendelea hio michezo michafu ya kuingia nyuma
 
Back
Top Bottom