Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Pole sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi kukosa time ya kulea watoto wanaanzana michezo ya ajabu mtaani mzazi hajuiNi nini kinapelekea watoto wa kiume tokea utotoni kuanza tabia za kike na mwishowe kuwa mashoga
Allah bado anakupenda, na bado una nafasi ya kubadil mtizamo na mwelekeo.That's what I have been saying
When you judge a person utamtenga and ukishamtenga he will find another way of getting love and care.
Sadly hizo situations zimepoteza most gay kids mitaani and as much as I'm trying to say the truth, people are busy crucifying me instead of taking a lesson
Afu kingine na nyie mkiona mwanaume mwenye 6 packs mnachanganyikiwa kama girls walivohujaelewa kipi
Waislamu wanasema kula kinyeo cha mwanamke ni sunna ya mtume,hawa ndio gays industryYaan siku hizi kila baada ya muda lazima ije story ya Gays, sio mtandaoni hata huku mtaani, Gayism imekua ndo trending issues.
Kwani nani hajui faida na hasara zake? Kinachokera mtu mzima akiyeamua kutumia mwili wake kwa namna inayo mfaa yeye binafsi, afu wanakuja watu wengine kuanza kumzonga na kumnangaa.
Kila mtu atalinda mwili wake, afu huwa mnakataza kwa kiume tyuuh, vipi hawa kike? Siku hizi wanagawa kinyeo km hawana akili nzuri na ishakua fashion, ndo hao walaji wakikosa kwa ke, wanahamia kwa me, wengine wanavuka mipaka na kulawitii watoto wadogoo wasio na hatia, mxxxxxxiiiiiiieeeeeew.
Acheni UNAFIKIII.
Nawaambia Hawa wanaomsema vibaya mdau mboni wao wanawaingilia Wanawake kinyume na maumbile kwa hio Wanawake kuingiliwa nyuma ni sawa TU?Mm mkuu siwez kufanya mambo hayo ya ajabu ajabu
Hata kama unashiriki huwezi kusema hapa Kwa aibu. Mwili Ni wapo, madhara Ni yakoIwe kwa sababu yoyote Ile,Siwezi kumhukumu mtu anayefanya mapenzi ya jinsia Moja.
Mwili ni wake,hiyo tuzi anayotoa ni yake,madhara na faida anayepata ni yeye,kama Mungu yupo siku ya hukumu atakayehukumiwa ni yeye,anayetengwa na kujitenga na jamii ni yeye!!
Mimi ni nani kumhukumu Binadamu mwenzangu?
Sishiriki aina hiyo ya ngono lakini Sina usafi wa kuwaona wengine ni wakosefu kuliko Mimi.
Kila mmoja wetu akikomaa na familia yake mwisho jamii yote itakosa hao watu .mwanzo wa taifa ni familia. Hata papa atakosa wa kumuunga mkonoAsa kama mpk Papa anaogopa kuwasema na baadhi ya kanisa zinafungisha ndoa ya jinsia moja bus hakuna tunachoweza Fanya zaid ya kukomaa na familia yako asitokee mtu uyo na kuomba mungu xnaa
Wewe ndio huna Akili kwa HIO unatibithia kabisa kwamba na Wewe unamla nyuma Mwajuma kule kule nyuma unapokataza pasiingiliwe?Kwa mwajuma unaeza jitetea kua umekosea maana hio hutokea Mara nyingi tuh
Ila kwa jumaa utakosea vipi na juma analo tundu moja tuh
Una uhakika gani km alikua anakuzingua
Ushawahi kumshuhudia?
Hicho kitendo kinafanywa Kwa Siri kubwa. Kasoro Zanzibar ndio hawajifichiKila mmoja wetu akikomaa na familia yake mwisho jamii yote itakosa hao watu .mwanzo wa taifa ni familia. Hata papa atakosa wa kumuunga mkono
Wewe mboni unawaingilia nyuma Wanawake?Kila mmoja wetu akikomaa na familia yake mwisho jamii yote itakosa hao watu .mwanzo wa taifa ni familia. Hata papa atakosa wa kumuunga mkono
Muulize vizuriView attachment 3029707
Mwanaume anakutania anataka kuja kupikaaa au sio??? Yani anataka kuja kunipikia dinner sio? Ananizingua sio
View attachment 3029708
Nikamwambia nimechoka akataka kuja nifanyia Massage, anazingua bado au sio??
Ngojea nkutaftie nilipoanza kumuita MKE WANGU na ana respond fresh kabisa...
Kijana alikuelewaView attachment 3029707
Mwanaume anakutania anataka kuja kupikaaa au sio??? Yani anataka kuja kunipikia dinner sio? Ananizingua sio
View attachment 3029708
Nikamwambia nimechoka akataka kuja nifanyia Massage, anazingua bado au sio??
Ngojea nkutaftie nilipoanza kumuita MKE WANGU na ana respond fresh kabisa...
Siogopi chochote Mkuu.Hata ukishiriki huwezi kusema hapa Kwa aibu
Watu walipokuwa wanakuita shoga kabla hujaanza huo ushoga je ilikuwa inakuumiza ama u were ok with it? ... nini kilipelekea kuingia kwenye ushoga willingly baadae then?I'm not in a good shape kuongelea hilo deeply today cause huniumiza sana but as far as I can remember
I was just a feminine young boy and people wangecomment about my face, navyoongea or navyotembea and some wakaniita shoga na kunitenga while at that time I didn't even know anything about sexuality. I was born with that look and sikujichagulia but I thank God at that time niliyapitia yote mazito without kujiunga na destructive gay squads za mjini or having gay sex prematurely. I focused on me that even my first gay relationship niliipata online willingly unlike many other gays waliopata gay experiences at a young age
Ingeleta yesSiogopi chochote Mkuu.
Hunijui,sikujui.Namuonea aibu nani hapa?
Je ningesema nashiriki ingeleta tofauti yoyote?
Hawa watu ni Washenzi wanawaharibu sana Wanawake kwa kuwaingilia nyuma Ila zikija hizi mada wanajifanya wasafi wakati ni wachafu kabisa wanawafanya Wanawake kinyume na maumbile kwa asilimia nyingi means wanapendelea hio michezo michafu ya kuingia nyumaHapo ndipo wanaume wanaponishangaza, kwa KE ni sawa kuwafanyia hivyo ila ME wanapiga vita.!!
“Ni sawa na kusema nyama ya nguruwe hali ila mchuzi wake anakunywa” bora km umeona unafiki wa wanaume wenzio