Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Ushogaa unaanzaga kama mzahaa.. Mtoto wa kiume unasfiwaaa sifa za kidemuu unachekaaa oohoo..!!
Yule kuna mtu alimuharibu na tamaa zake toka akiwa mdogo, baadhi yenu wanaume ni mambwa aisee.!!
 
Sipo tayari!!
Lakini kutokuwa kwangu tayari hakubadilishi uhalisia kuwa ndio wameamua kuwa hivyo.
Wewe kama mzazi kubali kuwa utakuwa umeshindwa wajibu wako wa kukataza na kuonya matendo yasiyofaa ya mwanao / kaka yako au mdogo wako kwa kisingizio cha kusema eti ni mwili wake . Akipata kansa ya puru anaumwa hutomsaidia gharama za matibabu?
 
Mbona na wewe unaonekana uko interested na hayo mambo??
Hizo convo zenu kuna sehemu mlishindwana ebu weka zote bila kuchana page.!!

Ninavyojua mwanaume rijali na mwenye msimamo ungemchana mapema hata usingeendeleza convo ndefu kiasi hicho sisi sio watoto
 
Wewe kama mzazi kubali kuwa utakuwa umeshindwa wajibu wako wa kukataza na kuonya matendo yasiyofaa ya mwanao / kaka yako au mdogo wako kwa kisingizio cha kusema eti ni mwili wake . Akipata kansa ya puru anaumwa hutomsaidia gharama za matibabu?
Ngono ni jambo binafsi.
Nitachukua hatua zote kukemea,lakini ikishindikana Mimi Sina la kufanya.
Siwezi kumkodia watu wamuue.
Akiugua hiyo kansa ya Puru ntahusika kwenye matibabu yake ndiyo.
Akifa basi!!.Safari yake inakuwa imekwisha.
Kila mtu na Maisha yake.
 
Yule kuna mtu alimuharibu na tamaa zake toka akiwa mdogo, baadhi yenu wanaume ni mambwa aisee.!!
Hapo tukubali mzazi/mlezi aliteleza katika kumsimamia huyo mtoto. Nadhani sasa tuelewe kuwa chanzo cha mambo haya ni kwenye familia na tukitaka kutatua hili tatizo turudi kwenye familia.
 
H

Ahahaha we jamaa umekula hapo mpk ukaja kumuita mkee
Ety ataku control usiwe na hamu manina kuna vituko dunian
Nilikua nahisi naota nikawa nataka kumuita majina ambayo kama si kweli atani mind ila nikawa naona hakasiriki kila nachomwandikia nikasema hapa nmenyoosha mikono juuu
 
Basi kumbe usiseme kuwa huwezi kuingilia mtu akiamua kufanya hayo mambo. Upo tayari kumlea mtoto wako au ndugu yako katika maadili mema na kukemea hivyo vitendo ikishindikana hasikii basi tunasema ulimwengu utamfundisha. Na hii kusema kila mtu na maisha yake basi akiumwa usimtibu wala kumwangalia maana ni maisha yake. Tatua tatizo kabla halijawa tatizo.maana ni wewe utakaeumia mbele ya safari.
 
HAKUNA UNAFIKI WOWOTE, WEWE NDO MNAFIKI

We dada hujui maana ya community?? Hujui maana ya Upendo?? Ndio kila mtu ana uhuru wa kufanya atakalo na mwili wake lakini huo uhuru sio 100% una mipaka, ndo maana hata ukijaribu kujiua serikali ikikumata inakupa kesi japokuwa mwili ni wako na ulitaka kujidhuru mwenyew, there is no such a thing as a 100% freedom.
Binadamu tunaishi kama community kwa kutegemeana, kufundishana na kukosoana, ukikosea lazima uambiwe, ni wewe sasa ndo utajua ubadilike au uendelee na upumbavu wako.
Na sio kila shoga anajua madhara ya kitu anachokifanya, some are ignorant.
Wewe unataka Kwamba tukimuona shoga kweny jamii yetu tumkalie kimya? We ni mpumbavu eti?? Hata angekuwa mtoto wako tutamwambia aache uchoko.

And most of them wanajiendekeza, kujiendekeza na kuifanya hio hali kana kwamba ni ugonjwa usitibika, but in reality ni kujiendekeza tuu, nina proof ya wanaume kama watatu, ambao walizaliwa na hio hali ya kuwa feminine na wakakanwa na kwa juhudi zao binafsi wakafanikiwa kubadilika hadi sasa they're good straight men, ninaposema kujiendekeza namaanisha, sio ugonjwa huo usiotibika.

Hapa sizungumzii watu wenye klinefelter's syndrome, nazungumzia normal people born with complete 46 chromosomes.
 
Hapo tukubali mzazi/mlezi aliteleza katika kumsimamia huyo mtoto. Nadhani sasa tuelewe kuwa chanzo cha mambo haya ni kwenye familia na tukitaka kutatua hili tatizo turudi kwenye familia.
Hujanielewa, huyo mtu mzima ndio amemuharibu huyo kijana kwa tamaa zake.

Ukisema tatizo ni wazazi je? Hujawahi kusikia au kuona mzazi anabaka na kulawiti mtoto wake?? Hata hizo familia ni tatizo na ni chanzo kikubwa cha kuzalisha mashoga.

Kwenye familia kuna wajomba na baba wadogo mabasha wengi, kwani hawa wanaowaingilia wanatoka kwenye jamii gani? Ni hizo hizo familia unazozisema. Na je nao unafikiri hawana watoto au familia??
 
Wanawaingilia Wanawake nyuma hio kwao wanaona ni sahihi kabisa yaan Mwanamke kuingiliwa nyuma ni halali na ni haki yake hivi inaiingia akilini hio? Yaan mtu anaingia kule kule anapokaa hadharani na kuwakataza watu wasiingie eti kisa huku ni kwa Mwanamke na huku ni kwa Mwanaume yaan wanaona kwamba nyuma kwa Mwanamke kuingia ni sawa kabisa na ni haki yao kumuingilia Mwanamke kinyume Ila hapa wanajifanya kwamba ooh hii sio sawa sasa nawauliza mboni unamuingia Mwanamke kinyume na maumbile km kweli wewe hukubariani na hili Jambo unalolipinga? Unapomuingilia Mwanamke maana yake na Wewe unakubari unachopingana nacho
 
Hahaha siko interested ningekua interested nisingeweka hapa ningebaki tu kimya na mwali wangu, nawambiaje ili mjue sasa?

Siwezi weka naweka for reason,ukiona naweka screenshot n sababu ya comment ilopta imenfanya niweke.a

Sina show off ya ungedere kama huo... Siwezi mchana mtu na maisha yake mimk.

Mimi sio shehe wala padri wala mchungaji ukiharibikiwa mbele yangu napita hiviii as long as n akili yako imekutuma.

Sio mtoa risala mimi, uza Tigo ni yako, fanya umalaya ni wako, mimi najiridhisha tu na tabia yako then napita hivi sitiiii neno.

Yeye anatoa JICHO ni dhambi yake kaikubali na mimi nina dhambi zangu kibao nafanya siwezi muona eti yeye ana dhambi saanaaaa nianze muhubiriaaa.

Najikataaa kimya kimya nafanya maisha yangu kila.mtu atajibu mashtaka yake mbele ya safari.
 
Basi kumbe usiseme kuwa huwezi kuingilia mtu akiamua kufanya hayo mambo. Upo tayari kumlea mtoto wako au ndugu yako katika maadili mema na kukemea hivyo vitendo ikishindikana hasikii basi tunasema ulimwengu utamfundisha.
Kukemea ni tofauti na Hukumu.Nimeona watu humu wanasema hawa watu hawastahili kuishi!!
Kwamba wauawe!!?
 
Kila mtu afuate yake sio?
 
Si kilema tu Bali uta hesabika unazidiwa hakili mpaka na ng'ombe
 
Kila mtu afuate yake sio?
Haswaaaa Kila mtu afate mambo yake, huyo shoga sawa

Hao wanao waua watoto albino wana wakata viungo

Wanaowaua watu wanawaiba viungo vyao

Wanaowageuza wazazi wao mandondocha je...

Hebu kila mtu afate maisha yake dhambi nyingi sana hiii dunia nahisi hata shetani anatuogopa wanadamu..

Tumuachie hukumu MUNGU alie juu tu ahukumu sisi tuangalie tupite vileeee..

Shauri mtoto wako muhubirie mtoto wako ila hawa watu baki Tazama songa mbele kama injili.
 
Vijana wa sasa hata ukimpa elf 20 tu
Dhamana anaweka Tigo

Kule telegram ndo kumechafuka
Kuna group Lao linaitwa pamoko nishawah shika simu ya dogo mmoja hiv alikuwa anacheza mpira


Yaan ni sodoma wanaombana bila wasi
 
Na ndio maana tunaambiwa siku hizi wazazi tusiwaamini ndugu wa karibu kuwaacha na watoto hata wageni tunaambiwa wasilale na watoto ni kwaajili ya haya mambo. Kila mzazi awe macho kujuwa mtoto yupo wapi na anafanya nini. Hii ya kutokea baba kabaka itokee tu lakini mzazi uwe umetimiza jukumu lako la malezi. Hata baba ndani ya nyumba usimuwamini sana kukaa na watoto ndani mda mrefu bila kujuwa anafanya nini dunia imeharibika. Kila Familia ikiwa inachukua hizo tahadhari hivyo vitendo vitapunguwa au kuisha kabisa . Tusijiwekee vikwazo kwenye kutafuta ufumbuzi wa hili tatizo.
 
Wa Tanganyika tunaweza kuishi bila unafiki? Kufuatilia maisha ya watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…