Yaan siku hizi kila baada ya muda lazima ije story ya Gays, sio mtandaoni hata huku mtaani, Gayism imekua ndo trending issues.
Kwani nani hajui faida na hasara zake? Kinachokera mtu mzima akiyeamua kutumia mwili wake kwa namna inayo mfaa yeye binafsi, afu wanakuja watu wengine kuanza kumzonga na kumnangaa.
Kila mtu atalinda mwili wake, afu huwa mnakataza kwa kiume tyuuh, vipi hawa kike? Siku hizi wanagawa kinyeo km hawana akili nzuri na ishakua fashion, ndo hao walaji wakikosa kwa ke, wanahamia kwa me, wengine wanavuka mipaka na kulawitii watoto wadogoo wasio na hatia, mxxxxxxiiiiiiieeeeeew.
Acheni UNAFIKIII.