Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Akina James Delicious uwa wanasurvive vipi?🤔
 
Kwani akiwa anamuingilia Mwajuma kinyume na maumbile hua anataka kugundua nini? Zaidi zaidi ni upotofu wake tu
Anajitetea na maelezo marefu, ohh siko interested. Mbona aliendeleza convo na wakaweka ahadi ya kukutana lodge na anampanga jinsi ya kuingia kinyemela wakasodomike.!! Huyu anatufanya sisi wajinga.
Yeye asizunguke naye ni mdau na convo zake zimejieleza.
 
Mkuu,
Ulisema unajitahidi sana kuacha u-gay, umefikia wapi? Naamini hata wewe hupendi sema ndio ulishaingia huko na kutoka sio rahisi sana.
I have decided to live my life ili niwe happy, I don't want to struggle with anything anymore
Naishi tu like any other person with or without relationships. It's not easy but najitahidi
 
Thanks
 
I have decided to live my life ili niwe happy, I don't want to struggle with anything anymore
Naishi tu like any other person with or without relationships. It's not easy but najitahidi
Pole sana mkuu,
Lakini anal sex ina madhara makubwa sana mkuu, hasa kiafya. Ungejitahidi kupambana uachane nayo, mbona kuwa straight is fine!!
 
Pole sana mkuu,
Lakini anal sex ina madhara makubwa sana mkuu, hasa kiafya. Ungejitahidi kupambana uachane nayo, mbona kuwa straight is fine!!
Did you choose to be one
Who taught you how to develop some feelings for women
Either ways nobody knows me more than i do ndio maana i don't judge anyone anaenitukana humu since all they can imagine about me ni james delicious or noel or any slut jumping from one ukuni to another. I am me and that's what matters to me
I'm at that stage ambayo definitions za watu hazibadi ile definition I hold of myself. Thanks
 
I'm not judging you my dear, najaribu tu kuangalia namna gani umeruhusu fikra huru kuutawala ubongo wako kiasi hicho.
 
Kheiri kudhulumu nafsi ya mtu kuliko mwanaume kufukuliwa tope.
Yani umeenda kinyume na uumbaji wa Mungu.
Aisee bora kuua kuliko kupakuliwa tope.
Sijaona dhambi inayozidi hiyo kitu,maana huko ni kumdhihaki Mungu kwa uumbaji wake Yani kwamba wanawake aliokuumbia hawakutoshi kiasi unamuinamisha me mwenzio ama alikukosea kukuumba mwanaume kheiri angekuumba mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…