And later ikitokea amejiua utasikia maneno ya kinafiki kutoka kwao n.k,
Most of friendships ni toxic na harmful kwa100% they judge you kana kwamba wao ni SAINTS waliotoka peponi ama mbinguni, kumbe asilimia kubwa wanafiki tu, wengine ni wana fanya mambo mazito na makubwa zaidi ya hayo wanayowanyanyapalia wengine..kama ulivyosema ishu kama hizo kuna wengine wana sad stories behind, wanataman kutoka, wanaitaj msaada, wengine ni kama wewe ambao mmeamua kukubaliana na hali ya mwili wako unavyotaka, n.k, ndo mana nasema kua na marafik ni ufala tu most of them are judgemental craps