Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Una hoja ila pengine wapo cool kutokana na kutokuwa na information za kutosha kuhusu mada inayojadiliwa
 
nilisoma huu uzi wa huyu kijana nikasema tu nikae kimya cas niliimagine vitu vingi sana, unaeza kuta hata watoto wako ni bisexual ila huezi kuja kujua never, na wanaoa yes na unakua na wajukuu but your son is bisexual[emoji30], im always confused with human for sure, ni kua normal tu cas siezi msema mtu sababu sijui why amekua alivo, though wa kujiendekeza wapo kwa tamaa zao ila wengine i think ndivo walivo, only God knows, thread yenyewe ni hii[emoji116]

 
Situations and the feelings were always there man
So Someone experienced alizigundua and he created an environment to get me. That's all I can say
mie shangazi yako nakuelewa , though im always confused, same as huyu

 
Ndio uwaambie wenzio wanaowaingilia wanawake kinyume waache au kwa sababu wanawake hawajitangazi km wanaingiliwa nyuma?
Kwanini una deflect? Kwani hujawahi sikia wanaolaani wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile? Wasagaji hawakatazwi?

Hii mada inahusu ushoga, unamaanisha wanaopinga waache kwanza wakashughulike na wafir*aji wa wanawake wakimaliza ndio warudi kwenye hii mada.

Mnashangaza... mmoja katuambia tushughulike kwanza na CCM. Is it abnormal kushughulika na "matatizo mengi" kwa wakati mmoja?

Are you okay??
 
Yes, I am okay

Nilichokimaanisha ni kwamba Hawa Hawa unaowaona HUMU wakiwasakama vijana wanaofanya vitendo hivyo hao hao unaowaona wanatupa mawe na kusema vibaya vijana wanaofanya vitendo hivyo hao hao wanaowasema vibaya vijana wanaofanya vitendo hivyo wakimaliza kusakama/kusema vibaya na kutupa Mawe wanaenda kuwageuza Wanawake na kuwaingilia nyuma yaani kinyume na maumbile

Yaan kwa Wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile ni halali kabisa na Wewe unakubariana na hilo yaan nyinyi Wanawake kuingiliwa nyuma ni sahihi?

Naomba unielewe logic yangu ni nini namaanisha kwamba Hawa watu wasiwajaji watu kwa kile wanachokiona ni kibaya kwao Ila wanakifanya kitu hicho hicho kwa Mwanamke kwa kigezo kwamba huyu Mwanamke sehemu zake za nyuma sio Sawa na za Mwanaume,

Ukitaka kuthibitisha hilo pitia baadhi ya majibu nimewauliza wamenijibu hivyo kwamba sehemu ya nyuma ya Mwanamke haifanani na sehemu ya nyuma ya Mwanaume kwa hio ni sahihi Mwanamke kuingiliwa nyuma, kwa hio na wewe unakubariana nao kua nyinyi Wanawake kuingiliwa nyuma ni haki yenu sababu sehemu zenu za nyuma sio sawa na za Wanaume?
 
Aliongea vizuri and that's the reality aunt
 
Maybe you have a point but confronting those who crucify gays while glorifying anal sex with women nadhani it's right. What you don't know is the same curiosity iliyowafanya kula anal, it's the same curiosity watayotumia kula gays
 
So ulitaka waniroast effectively 😭
 
Maybe you have a point but confronting those who crucify gays while glorifying anal sex with women nadhani it's right. What you don't know is the same curiosity iliyowafanya kula anal, it's the same curiosity watayotumia kula gays
Shida ni kuwa wa Tanganyika kuwahukumu gays as if wanakulana wenyewe kwa wenyewe kumbe wapo wanaowakula kwa siri halafu in public wanawashutumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…