Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Saying a guy who can't stay 3 months straight without having sex
You guys why do you always think kuwa gay issue ni nyepesi while you have never been gays yourselves
With all the stigma and public crucification. Nani angetaka kuwa gay,
Imagine the lame reasons you always use kusema ohhh men hawawezi kuwa na girl mmoja
Imagine if you can't satisfy your sexual desires kwa same woman or much less masturbation or anal sex, what makes you think it's easy for another person kuacha sexual acts zinazompa fullfillment completely
Njoo dm mende nipo hapa
 
So sad... Ninajamaa yangu mmoja mtanashati fresh tu kumbe shoga

dah Kuna muda katika story tukiwa na wana wengine tunapanga mikakati ya kuoa na kumchangia mwenzetu ambaye soon anaoa, lakini jamaa kweny mada hzo huwa achangii hlf anakuwa mnyonge sana............ Kuja kupewa za kapeti jamaa wanampakua!!!!

Kwanzia siku hyo simu yake huwa napokea kwa tabu sana..... shoga hana haki ya kuishi 🚶🚶
Sasa huyo huenda ana historia iliyomfanya akaishia huko. Aidha alibakwa au alipitia manyanyaso utotoni kwa muda mrefu bila watu kujua au kuwa karibu nae.... Na kadhalika, kwahiyo Jitahidini mjue story yake, huenda alishaathirika kisaikolojia dhidi ya Aliyofanyiwaga mpaka yakampelekea kuishia huko.

Sio hawa wengine vijana wa mjini wasio na akili wanaishia kufirwa kwa kupenda vya bure na maisha mazuri ya haraka. Kenge hawa!
 
Hawezi kugusa hilo suala nyeti ili uguse hilo suala inabidi uende deep ukiwa shallow hakuna utapogika popote yatamkuta yaliyomkuta DC wa Ubungo TU mwisho aibu inakua ya kwake, kwa hio MIMI namuona anatumia Akili hakurupukii tu mambo ovyo ovyo anafuata hatua kwa hatua km tukio limetokea anafuatilia hatua kwa hatua, unazungumzia Jamii na wana Jamii unapoanza ku-act na ku-react kwa wana Jamii kumbuka nao wana Jamaa zao pia
Yamemkuta nn DC wa ubungo
 
View attachment 3029631

Hili dogo nili likuta dukani home, nilienda nunua kitu.

Akaniona akaniuliza Bro una duka k.koo nikamwambia HAPANA, lakini maduka unayo nmeskia, nikamwambia NDIO.

Sasa Bro naomba nisaidie nipate kazi sina kazi yoyote, nikamwambia mimi kazi kwangu sina labda nikiskia nitakushtua.

Akaniomba namba nikampa (sikujua kama ni shoga mpka hapo)

Balaa likaanza alipoanza nitext, nikamuuliza kwa uzuri ili nijue kwanza kama anaweza nifaa..

Nikamuuliza Unaweza kitu gani au uko vizuri kwenye nini, uzoefu wako? Ndio majibu aloninibu hayo hapo juu kwa screenshot.

Tuliyoendelea kuchat walahi ni hatari maana nilikua nahisi NAOTA nikawa nataka nihakikishe kweli au si kweli nikawa nampa MADA hizo yaniii nayeye anajaaa.

Mwisho wa siku hili kenge likataka lije ndani linipikie chakula cha usiku..


Oyaaa bandugu zangu dunia imefika ze end ze ova...
Tupe namba tuna maduka kariakoo hayana watu😅🤣
 
View attachment 3029707

Mwanaume anakutania anataka kuja kupikaaa au sio??? Yani anataka kuja kunipikia dinner sio? Ananizingua sio


View attachment 3029708

Nikamwambia nimechoka akataka kuja nifanyia Massage, anazingua bado au sio??

Ngojea nkutaftie nilipoanza kumuita MKE WANGU na ana respond fresh kabisa...
Huyu ww ndio unamtengenezea mazingira baada ya ahadi feki tupe namba tumsaidie .
Ww jamaaa unafanya jinai na hujui akikudai pesa ya udhalilishaji mahakamani hutoboi
 
View attachment 3029710

Kuna maelezo zaidi kwa huyu mwamba, nimemblock ila kanisaka hadi insta kaja niomba tuonane..anasumbua sio kawaida.

Nimempanga nipo lodge nika.wambia aingie sijui alienda wakamwambiaje maana sikuepo.

NIkajua atakasirika nilivyomdanganya ila wapiiiii ndio kwanza ananibadilishia namba tu.
Ww ndio unafanya ukatili na yeye hajui Sheria ungelipa mabillion
 
ILA UKWELI MASHOGA WA EAC WAHAMIE ULAYA TUUUU HUKU WANAKUJAGA KUFA NA MATATIZO YA AKILI NA MISONGO YA MAWAZO UKIMWI wakiwa na 20s. Na 30s
 
Kwani wewe sio msenge?
Kuwa makini na kauli zako na namna unavyokuwa ukimjibu kila mtu humu. Hizi anonymous ID zisikudanganye... Hakukuwa na haja ya kukufata PM kukutahadharisha na kukuonya kuhusu hili.

Shauri yako 😊😊😊
 
Unaonekana umezaliwa familia bora wewe,na huwa mnashida sana plus muonekano mzuri kama unavyosifia.walaumiwe wazazi wako kwa kukupa malezi mabovu.
I hope you won't pass through the same sh*t with your kids cause no baby on earth deserves to live the way I lived so i can't wish it on anyone,
Endelea with your pride and ego cause i'm sure hujui what survival means as I do kwa hiyo endelea with your stereotypes cause I don't care
 
Back
Top Bottom