Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Gay smart na anayejitambua hawezi kuwa na mazoea holela na straight, kwan had afanye hivyo anatakajee? Straight ndo atake mazoea na Gay.

Afu mbona Bongo kuishi ni simple sana ukiwajulia waja!! Tatizo gays wengi wa Bongo hasa wasiokalia Dawati, hawajielewi wala hawajitambui, kutwaa kuranda kwenye mashughuri kuuuza nyago, au huko bar na club kujichoreshaaa.

Wakiishi life lao private, nongwa zinatoka wapiii? Unaishi kivyakoo had wao wanajiuliza anajimudu eeeh.
Wengi njaa kali
 
Wengi njaa kali
Huwa nashangazwa sana na baadhi ya gays, wengine wanaacha hadi shule kisa ubaguzi na unyanyasaji huko mashuleni, yaan mtu akuumize kwa maneno tyuuh?

Ukisema Njaa, utaleta tafsiri kuwa wapo huko kimaslahi! Vipi hawa wengine wana uwezo wa kujimudu lakini bado wanaishi ambavyo ni kero kwa umma?

Hakuna nchi simple ya kuishi kwa Gays km Bongo, ni vile wahusika hawajuii tyuuuh.
 
Mtengueni na hiyo wizara mpeni Mheshimiwa Paul Makonda
Makonda tuna mipango nae mikubwa zaidi kwa sasa.

Isipokuwa huyu Dkt Gwajima D hapo hapamtoshi na hafahamu namna ya kujirekebisha (Reforms) na hana ubunifu wa kukaboiliana na majanga ya Watanzania kisasa.
 
Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako. Unapewa kilema cha maisha bila kujua.

MADHARA

1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na bongo vilainishi marufuku.


2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,

3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,

4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.

5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!
Mademu je?
 
mapenzi ya jinsia moja ni hatari zaidi kwa uzalishaji mali
 
Huyu Confession ni msomi mzuri tuu ana hekima, mtaarabu, mpole pia and i guess ana kazi nzuri tuu sema ndio hivyo kaingia huko bila kupenda na kuna boya mmoja ndio kamuharibia maisha yake. Sijawahi kuwaelewa magay ila kwa Confession nimefatilia kila comment yake kwa umakini sana jamaa anajielewa ila basi tuu ndio maisha kashaingia huko kutoka ndio issue hakuna haja ya kumuinsult zaidi ya kumuombea tuu kwa Mungu aweze kutoka huko coz kila kitu kinawezekana.
 
Kuuongelea ushoga bongo ni kupoteza muda tu maana hamna kitu mnaweza wafanya zaidi ya kubwata tu humu mitandaoni na kujitia mnawachukia.

Linda uzao wako, mnalea vibaya watoto wenu matokeo yake mabazazi yanawapumulia, hasira mnakuja kuzimalizia huku mtandaoni kwa kuwatukana hovyo wanaojitanabaisha kua ni mashoga.

Ushoga ni tabia mbaya sana, magonjwa ya zinaa ni njenje, wanaharibiwa huko nyuma vibaya sana, mbaya zaidi ni kama una addiction maana kuacha hawawezi wanaishia kujidhalilisha kwa kutaka wanaume kwa kuwahonga, kujitongozesha mitandaon mwisho kuambulia matusi na kutangazwa vibaya.
Na huyo chalii anaesema mashoga ndo watu smart sijui ndo wamefanikiwa aache upotoshaji wake labda mashoga wa Israel na marekani huko sio hapa bongo.
 
Huyu Confession ni msomi mzuri tuu ana hekima, mtaarabu, mpole pia and i guess ana kazi nzuri tuu sema ndio hivyo kaingia huko bila kupenda na kuna boya mmoja ndio kamuharibia maisha yake. Sijawahi kuwaelewa magay ila kwa Confession nimefatilia kila comment yake kwa umakini sana jamaa anajielewa ila basi tuu ndio maisha kashaingia huko kutoka ndio issue hakuna haja ya kumuinsult zaidi ya kumuombea tuu kwa Mungu aweze kutoka huko coz kila kitu kinawezekana.
Asante but sina wa kumlaumu other than myself cause sikubakwa and I was matured enough
Vingine tuviache tu
 
Back
Top Bottom