Wengi njaa kaliGay smart na anayejitambua hawezi kuwa na mazoea holela na straight, kwan had afanye hivyo anatakajee? Straight ndo atake mazoea na Gay.
Afu mbona Bongo kuishi ni simple sana ukiwajulia waja!! Tatizo gays wengi wa Bongo hasa wasiokalia Dawati, hawajielewi wala hawajitambui, kutwaa kuranda kwenye mashughuri kuuuza nyago, au huko bar na club kujichoreshaaa.
Wakiishi life lao private, nongwa zinatoka wapiii? Unaishi kivyakoo had wao wanajiuliza anajimudu eeeh.
Huwa nashangazwa sana na baadhi ya gays, wengine wanaacha hadi shule kisa ubaguzi na unyanyasaji huko mashuleni, yaan mtu akuumize kwa maneno tyuuh?Wengi njaa kali
Makonda tuna mipango nae mikubwa zaidi kwa sasa.Mtengueni na hiyo wizara mpeni Mheshimiwa Paul Makonda
Mademu je?Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako. Unapewa kilema cha maisha bila kujua.
MADHARA
1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na bongo vilainishi marufuku.
2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,
3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,
4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.
5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!
SawaTulia kwanza, kuna mwengine wa jf hapa hapa kapamda dau...yupo kwenye million 25 yeye
Ndio nimeona kampeni zake ila sijui yamemkuta nnHaujui?
Nipe ni. NondoNdio nimeona kampeni zake ila sijui yamemkuta nn
Tatizo upo kwenye mahusiano π π π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kusema ukweli ndo hulka yangu, Unafiki sio shida zangu.
Nakupenda mke wangu. SitakusalitiTatizo upo kwenye mahusiano π π π π
Kitu gani kimekuumiza kamanda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani ulitakajeee? Em semaa kwani.Tatizo upo kwenye mahusiano [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Asante but sina wa kumlaumu other than myself cause sikubakwa and I was matured enoughHuyu Confession ni msomi mzuri tuu ana hekima, mtaarabu, mpole pia and i guess ana kazi nzuri tuu sema ndio hivyo kaingia huko bila kupenda na kuna boya mmoja ndio kamuharibia maisha yake. Sijawahi kuwaelewa magay ila kwa Confession nimefatilia kila comment yake kwa umakini sana jamaa anajielewa ila basi tuu ndio maisha kashaingia huko kutoka ndio issue hakuna haja ya kumuinsult zaidi ya kumuombea tuu kwa Mungu aweze kutoka huko coz kila kitu kinawezekana.