Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Yule kuna mtu alimuharibu na tamaa zake toka akiwa mdogo, baadhi yenu wanaume ni mambwa aisee.!!Ushogaa unaanzaga kama mzahaa.. Mtoto wa kiume unasfiwaaa sifa za kidemuu unachekaaa oohoo..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule kuna mtu alimuharibu na tamaa zake toka akiwa mdogo, baadhi yenu wanaume ni mambwa aisee.!!Ushogaa unaanzaga kama mzahaa.. Mtoto wa kiume unasfiwaaa sifa za kidemuu unachekaaa oohoo..!!
Wewe kama mzazi kubali kuwa utakuwa umeshindwa wajibu wako wa kukataza na kuonya matendo yasiyofaa ya mwanao / kaka yako au mdogo wako kwa kisingizio cha kusema eti ni mwili wake . Akipata kansa ya puru anaumwa hutomsaidia gharama za matibabu?Sipo tayari!!
Lakini kutokuwa kwangu tayari hakubadilishi uhalisia kuwa ndio wameamua kuwa hivyo.
Mbona na wewe unaonekana uko interested na hayo mambo??View attachment 3029707
Mwanaume anakutania anataka kuja kupikaaa au sio??? Yani anataka kuja kunipikia dinner sio? Ananizingua sio
View attachment 3029708
Nikamwambia nimechoka akataka kuja nifanyia Massage, anazingua bado au sio??
Ngojea nkutaftie nilipoanza kumuita MKE WANGU na ana respond fresh kabisa...
Ngono ni jambo binafsi.Wewe kama mzazi kubali kuwa utakuwa umeshindwa wajibu wako wa kukataza na kuonya matendo yasiyofaa ya mwanao / kaka yako au mdogo wako kwa kisingizio cha kusema eti ni mwili wake . Akipata kansa ya puru anaumwa hutomsaidia gharama za matibabu?
Hapo tukubali mzazi/mlezi aliteleza katika kumsimamia huyo mtoto. Nadhani sasa tuelewe kuwa chanzo cha mambo haya ni kwenye familia na tukitaka kutatua hili tatizo turudi kwenye familia.Yule kuna mtu alimuharibu na tamaa zake toka akiwa mdogo, baadhi yenu wanaume ni mambwa aisee.!!
Nilikua nahisi naota nikawa nataka kumuita majina ambayo kama si kweli atani mind ila nikawa naona hakasiriki kila nachomwandikia nikasema hapa nmenyoosha mikono juuuH
Ahahaha we jamaa umekula hapo mpk ukaja kumuita mkee
Ety ataku control usiwe na hamu manina kuna vituko dunian
Basi kumbe usiseme kuwa huwezi kuingilia mtu akiamua kufanya hayo mambo. Upo tayari kumlea mtoto wako au ndugu yako katika maadili mema na kukemea hivyo vitendo ikishindikana hasikii basi tunasema ulimwengu utamfundisha. Na hii kusema kila mtu na maisha yake basi akiumwa usimtibu wala kumwangalia maana ni maisha yake. Tatua tatizo kabla halijawa tatizo.maana ni wewe utakaeumia mbele ya safari.Ngono ni jambo binafsi.
Nitachukua hatua zote kukemea,lakini ikishindikana Mimi Sina la kufanya.
Siwezi kumkodia watu wamuue.
Akiugua hiyo kansa ya Puru ntahusika kwenye matibabu yake ndiyo.
Akifa basi!!.Safari yake inakuwa imekwisha.
Kila mtu na Maisha yake.
HAKUNA UNAFIKI WOWOTE, WEWE NDO MNAFIKIYaan siku hizi kila baada ya muda lazima ije story ya Gays, sio mtandaoni hata huku mtaani, Gayism imekua ndo trending issues.
Kwani nani hajui faida na hasara zake? Kinachokera mtu mzima akiyeamua kutumia mwili wake kwa namna inayo mfaa yeye binafsi, afu wanakuja watu wengine kuanza kumzonga na kumnangaa.
Kila mtu atalinda mwili wake, afu huwa mnakataza kwa kiume tyuuh, vipi hawa kike? Siku hizi wanagawa kinyeo km hawana akili nzuri na ishakua fashion, ndo hao walaji wakikosa kwa ke, wanahamia kwa me, wengine wanavuka mipaka na kulawitii watoto wadogoo wasio na hatia, mxxxxxxiiiiiiieeeeeew.
Acheni UNAFIKIII.
Hujanielewa, huyo mtu mzima ndio amemuharibu huyo kijana kwa tamaa zake.Hapo tukubali mzazi/mlezi aliteleza katika kumsimamia huyo mtoto. Nadhani sasa tuelewe kuwa chanzo cha mambo haya ni kwenye familia na tukitaka kutatua hili tatizo turudi kwenye familia.
Wanawaingilia Wanawake nyuma hio kwao wanaona ni sahihi kabisa yaan Mwanamke kuingiliwa nyuma ni halali na ni haki yake hivi inaiingia akilini hio? Yaan mtu anaingia kule kule anapokaa hadharani na kuwakataza watu wasiingie eti kisa huku ni kwa Mwanamke na huku ni kwa Mwanaume yaan wanaona kwamba nyuma kwa Mwanamke kuingia ni sawa kabisa na ni haki yao kumuingilia Mwanamke kinyume Ila hapa wanajifanya kwamba ooh hii sio sawa sasa nawauliza mboni unamuingia Mwanamke kinyume na maumbile km kweli wewe hukubariani na hili Jambo unalolipinga? Unapomuingilia Mwanamke maana yake na Wewe unakubari unachopingana nachoNa ndio hao hao wanawaingilia na wanaume wenzao, wakikosa kwa wanawake wanaanza kuinamishana wao kwa wao ila hapa sababu ya unafiki wao huwaoni kupinga.!!
Wao mpk wanaowaingilia wote ni mashoga, na km kuuliwa basi waanze wao wanaoingilia wenzao nyuma.
Hahaha siko interested ningekua interested nisingeweka hapa ningebaki tu kimya na mwali wangu, nawambiaje ili mjue sasa?Mbona na wewe unaonekana uko interested na hayo mambo??
Hizo convo zenu kuna sehemu mlishindwana ebu weka zote bila kuchana page.!!
Ninavyojua mwanaume rijali na mwenye msimamo ungemchana mapema hata usingeendeleza convo ndefu kiasi hicho sisi sio watoto
Kukemea ni tofauti na Hukumu.Nimeona watu humu wanasema hawa watu hawastahili kuishi!!Basi kumbe usiseme kuwa huwezi kuingilia mtu akiamua kufanya hayo mambo. Upo tayari kumlea mtoto wako au ndugu yako katika maadili mema na kukemea hivyo vitendo ikishindikana hasikii basi tunasema ulimwengu utamfundisha.
Kila mtu afuate yake sio?Hahaha siko interested ningekua interested nisingeweka hapa ningebaki tu kimya na mwali wangu, nawambiaje ili mjue sasa?
Siwezi weka naweka for reason,ukiona naweka screenshot n sababu ya comment ilopta imenfanya niweke.a
Sina show off ya ungedere kama huo... Siwezi mchana mtu na maisha yake mimk.
Mimi sio shehe wala padri wala mchungaji ukiharibikiwa mbele yangu napita hiviii as long as n akili yako imekutuma.
Sio mtoa risala mimi, uza Tigo ni yako, fanya umalaya ni wako, mimi najiridhisha tu na tabia yako then napita hivi sitiiii neno.
Yeye anatoa JICHO ni dhambi yake kaikubali na mimi nina dhambi zangu kibao nafanya siwezi muona eti yeye ana dhambi saanaaaa nianze muhubiriaaa.
Najikataaa kimya kimya nafanya maisha yangu kila.mtu atajibu mashtaka yake mbele ya safari.
Si kilema tu Bali uta hesabika unazidiwa hakili mpaka na ng'ombeKijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako. Unapewa kilema cha maisha bila kujua.
MADHARA
1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na bongo vilainishi marufuku.
2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,
3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,
4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.
5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!
Haswaaaa Kila mtu afate mambo yake, huyo shoga sawaKila mtu afuate yake sio?
Na ndio maana tunaambiwa siku hizi wazazi tusiwaamini ndugu wa karibu kuwaacha na watoto hata wageni tunaambiwa wasilale na watoto ni kwaajili ya haya mambo. Kila mzazi awe macho kujuwa mtoto yupo wapi na anafanya nini. Hii ya kutokea baba kabaka itokee tu lakini mzazi uwe umetimiza jukumu lako la malezi. Hata baba ndani ya nyumba usimuwamini sana kukaa na watoto ndani mda mrefu bila kujuwa anafanya nini dunia imeharibika. Kila Familia ikiwa inachukua hizo tahadhari hivyo vitendo vitapunguwa au kuisha kabisa . Tusijiwekee vikwazo kwenye kutafuta ufumbuzi wa hili tatizo.Hujanielewa, huyo mtu mzima ndio amemuharibu huyo kijana kwa tamaa zake.
Ukisema tatizo ni wazazi je? Hujawahi kusikia au kuona mzazi anabaka na kulawiti mtoto wake?? Hata hizo familia ni tatizo na ni chanzo kikubwa cha kuzalisha mashoga.
Kwenye familia kuna wajomba na baba wadogo mabasha wengi, kwani hawa wanaowaingilia wanatoka kwenye jamii gani? Ni hizo hizo familia unazozisema. Na je nao unafikiri hawana watoto au familia??
Wa Tanganyika tunaweza kuishi bila unafiki? Kufuatilia maisha ya watu?Haswaaaa Kila mtu afate mambo yake, huyo shoga sawa
Hao wanao waua watoto albino wana wakata viungo
Wanaowaua watu wanawaiba viungo vyao
Wanaowageuza wazazi wao mandondocha je...
Hebu kila mtu afate maisha yake dhambi nyingi sana hiii dunia nahisi hata shetani anatuogopa wanadamu..
Tumuachie hukumu MUNGU alie juu tu ahukumu sisi tuangalie tupite vileeee..
Shauri mtoto wako muhubirie mtoto wako ila hawa watu baki Tazama songa mbele kama injili.
Duh!Aisee...ila shida mwaharamu unajikuta million 10 unatoa jicho tuu. Maisha yenyewe ndio haya haya kula raha duniani...huko kwengine hatujui